Series (Special thread)

The wire .
Scale it 1 to 10
Nafikiria kuipakua
Ichukue sio mbaya..nimeangalia episode mbili nimeipenda saivi naendelea kuishusha ..ila sijapenda vipande vya wazungu vya manigga ndo vizuri zaidi

Naipa 6.5/10

Screenshot (9).png
 
Me nmeshindwa kuiangalia sjui kwa nn naona ya kizaman sana yan

Series ya 2002
the wire ni kali aisee real life kabisa ya maisha ya kitongoji kimoja huko Maryland kinaitwa baltmo, inaonyesha polisi wanavyo dili na kina idris Alba na omari ambao ni wauza madawa na wamewaajiri vijana kwa kuwapa vijana kona
sema slang nyingi ila series tamu sana nimeangalia season zote
 
Lupin part 2 itatoka mwezi huu tarehe 11

View attachment 1812313
Hii series kwa upande wangu sikuipenda. Story ni nzuri ila waandaaji na waigizaji naona hawajaitendea haki.

Nilipomaliza season 1 ndo nimeacha kuiangalia, sitajihusisha na mwendelezo.

Ila uzuri wa series hukosi mtu wa kukuvutia. Yaani hata kama series ni mbaya ila kuna character mmoja atakufanya uendelee kuitazama.
Aliyenivutia mule ni yule demu blonde wa Lupin.

The same kwenye Cypher, alienifanya niendelee kuiangalia ni yule Agent Rees.
images.jpg
 
View attachment 1812358
Poa poa mkuu kila mtu ana maoni yake 😂😂
 
Ukipata muda pitia series hizi

1. Lost in Space
2. Sex in the City
3. The VIKINGS
4. Narcos
5. Crow
6. Revolution
7. Homeland
9. House of Cards
10. Treadstone
11. Musketeer
12. The Witcher
13. I AM never
14. Single Ladies - Ya kitambo kiasi
15. Snowfall
16. Carmen
17. Sex Education
18. Lucifer
19. Marco Pollo
20. Lost
21. Tehran
22. The Family Business
23.

Wenye link za Telegram tafadhali, share na wengine......

CineMaVilla Tv/Web Series
 
Nashauri mtu asiangalie hizi series Tehran, Treadstone na revolution utapoteza muda maana wamezicancel so hakuna muendelezo tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom