Mpaka hapo nishajua hujaelewa iyo series maana kila blacklister yoyote duniani anawajua blacklisters wenzake na ndio wengi mnachanganya hapo kwamba anajua kila kitu kumbe anajua blacklisters wenzake na yeye alipanga ilo kabla ya kujikamatisha FBI na watu wanamchunguza huko mbele huyo sio reddington na hajulikani ni nani? So mpaka ni mtu wa mipango sio mjuajiNimeangalia zaidi ya 19 - episodes nachokiongea nakijua.
Karibu mkuukweli mkuu umefafanua vzr.
Hii nimeteseka kumbe badoMkao wa kulaView attachment 1743898
Hakuna madmbundle ya usiku.. Komaa na ya kawaida BossUshauri juu ya mtandao gani wenye bundle poa za usiku za kudownload movies
ipo youtubemwenye link ya series inaitwa traveler (2007) msaada tafadhali
DaredevilMimi nimpenzi wa series zenye fantasy sana plus horror ...pia za vita za kizamani za mapanga...
Mfano
Once upon a time
Supernatural
The walking dead
The last Kingdom
GOT
Vikings
Kama unafahamu series yeny genre inayofanana na series yoyote hapo, nisaidie majina nizishushe
Sawa bro sijaielewa, lakini sijaiangalia mpka ulipofika wewe, hiyo haimaanisha sijaielewa.Mpaka hapo nishajua hujaelewa iyo series maana kila blacklister yoyote duniani anawajua blacklisters wenzake na ndio wengi mnachanganya hapo kwamba anajua kila kitu kumbe anajua blacklisters wenzake na yeye alipanga ilo kabla ya kujikamatisha FBI na watu wanamchunguza huko mbele huyo sio reddington na hajulikani ni nani? So mpaka ni mtu wa mipango sio mjuaji
Daah! Ozark 🔥..... Sema itakuwa season ya mwisho yenye episodes 14 ila itakuwa part 1 & 2season 4
June 2021View attachment 1746596
Hapana hata izo 19 ungeshajua tu mkuu....Sema potezea sikushikii fimboSawa bro sijaielewa, lakini sijaiangalia mpka ulipofika wewe, hiyo haimaanisha sijaielewa.
Series gani nyingine yenye Genres km hizo?Basi the blacklist haikufai maana izo zote nimeziona kasoro once upon a tym
Snowfall ya kawaida, haina ukali huo unaosifiwa ya kawaida sanaNaona Snowfall inasifiwa sana mkuu. Ni kali kiasi hicho au ni promo tu za kisiasa ?
Umeangalia episodes ngapi au unahusu nini?Snowfall ya kawaida, haina ukali huo unaosifiwa ya kawaida sana
Itafute seeSeries gani nyingine yenye Genres km hizo?
Snowfall ya kawaida, haina ukali huo unaosifiwa ya kawaida sana
hii dark sitaki ata kuisikia hiiDaredevil
jamaa mmoja kipofu ambaye pia ni mwanasheria anapiga mkono balaa
katika movie za mavel naikubali hiyo
ya pili 2.stranger things, hii inataka kufanana na Dark ya kigerman
3.iron first
4. the punisher
Vp mkuu ya kiboya??hii dark sitaki ata kuisikia hii