Series (Special thread)

Nimeangalia zaidi ya 19 - episodes nachokiongea nakijua.
Mpaka hapo nishajua hujaelewa iyo series maana kila blacklister yoyote duniani anawajua blacklisters wenzake na ndio wengi mnachanganya hapo kwamba anajua kila kitu kumbe anajua blacklisters wenzake na yeye alipanga ilo kabla ya kujikamatisha FBI na watu wanamchunguza huko mbele huyo sio reddington na hajulikani ni nani? So mpaka ni mtu wa mipango sio mjuaji
 
This Drama
MV5BNzMzYmRiNGEtMDg5OC00OGZmLWFmNDktYzRlZTFkZmZiMjAzXkEyXkFqcGdeQXVyMTE2OTE2MzE1._V1_.jpg
 
Mimi nimpenzi wa series zenye fantasy sana plus horror ...pia za vita za kizamani za mapanga...

Mfano

Once upon a time
Supernatural
The walking dead
The last Kingdom
GOT
Vikings

Kama unafahamu series yeny genre inayofanana na series yoyote hapo, nisaidie majina nizishushe
Daredevil
jamaa mmoja kipofu ambaye pia ni mwanasheria anapiga mkono balaa
katika movie za mavel naikubali hiyo
ya pili 2.stranger things, hii inataka kufanana na Dark ya kigerman
3.iron first
4. the punisher
 
Mpaka hapo nishajua hujaelewa iyo series maana kila blacklister yoyote duniani anawajua blacklisters wenzake na ndio wengi mnachanganya hapo kwamba anajua kila kitu kumbe anajua blacklisters wenzake na yeye alipanga ilo kabla ya kujikamatisha FBI na watu wanamchunguza huko mbele huyo sio reddington na hajulikani ni nani? So mpaka ni mtu wa mipango sio mjuaji
Sawa bro sijaielewa, lakini sijaiangalia mpka ulipofika wewe, hiyo haimaanisha sijaielewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom