Series (Special thread)

Kama ww n mpenz wa spanish series bc mzigo mwingne unaitwa ELITE(College + Street life based) 🔥🔥. Subtittle zipo Mx player
 
Sense 8 season 1&2
Strike back season 1-7💣💣💣
The OA season 1&2 🙌🙌
Gangs of London season 1
.....Thank me latter🌋
 
Kama ww n mpenz wa spanish series bc mzigo mwingne unaitwa ELITE(College + Street life based) 🔥🔥. Subtittle zipo Mx player
Mbona ipo Torrent na subs zake nimeishusha hadi season 3 ila nimeangalia kidogo Sana cz Kuna story nzuri Sana angalau inaonyesha matukio ya mbele na nyuma
 
Nachelea kusema, wewe bado ni TOTO DOGO sana kwenye ulimwengu wa TV shows/TV series.
😆😆😆😆 Mimi watu wa aina hii naachana nao na kupita bila kuwajibu coz unabishana na mtu ambaye anasifia kitu akipendacho na kuaminisha umma hiki ni kizuri kushinda chote pasipo kujua tv shows zingine zipoje na ukienda kwenye vyanzo vya kuaminika iyo prison break haipo hata top 4 na haina viewers kiivyo watu wanaoifuatilia
 

Similar Discussions

67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom