Series (Special thread)

Kwangu Mimi katika series Bora za Netflix zenye story nzuri, za muda wote tangu niangalie series zao na kukufanya ushangae na kujiuliza mda wote Basi ni MONEY HEIST & DARK....
Hii Dark nilidownload season zote 3 nikaweka kiporo nikaanza nayo kuanzia alhamisi ya wiki iliyopita hadi leo nipo S03e07 si mchezo mzee hadi unasema hii ndo series sasa ya mtu mzima kukaa na kuangalia sio series hata mtoto mdogo akikaa unajua mwisho wa siku itaishia wapi.... Hapa netflix na wajerumani wamecheza Sana naipa 9/10 kwa upande wangu.

Hiyo dark ngoja niiweke kwenye watchlist
 
Inaboa,kwa mtu anayeelewa series asipoteze mda kudownload the wire,atajikuta na matarajio makubwa kumbe series ya kawaida!
Daaah!
Nimeona unasema umecheki mpaka season ya tatu(3) lakini bado umeona series haiajachangamka, yaani mbaya! Kama kweli umecheki mpaka season ya tatu(3) na bado umeona haina mvuto/haijachangamka, basi mimi sina namna ya kukufanya uione kali.
Lakini kwangu mimi The Wire ipo katika kumi(10) bora ya TV Series kali ambazo nimewahi kuzitazama.
 
I recommend outer banks!

Ni series inayomuhusu kijana John B anayeamua kuingia mzigoni kutafuta dhahabu ambazo zilizama na meli ya matajiri (royal merchant) miaka 150 nyuma na kipnd chote hcho watu mbali mbali wamejrbu kutafuta ikiwemo baba yake aliyespend 20 yrs kuresearch na alifariki kwa kupotea kutokana na issue hyo...
Ina season 1 imetoka april 2020 and soon season 2 itatoka.!! View attachment 1570157
Yakawaida sana mkuu
 
Kwangu Mimi katika series Bora za Netflix zenye story nzuri, za muda wote tangu niangalie series zao na kukufanya ushangae na kujiuliza mda wote Basi ni MONEY HEIST & DARK....
Hii Dark nilidownload season zote 3 nikaweka kiporo nikaanza nayo kuanzia alhamisi ya wiki iliyopita hadi leo nipo S03e07 si mchezo mzee hadi unasema hii ndo series sasa ya mtu mzima kukaa na kuangalia sio series hata mtoto mdogo akikaa unajua mwisho wa siku itaishia wapi.... Hapa netflix na wajerumani wamecheza Sana naipa 9/10 kwa upande wangu.
DARK CYO ZOMBIE????
 
Ninscience fiction ya viteenager vi 4 vilikuwa vinamaakili sana vikajikuta vinatest mambo ambayo vikagundua dunia ya pili iliyo kama hii ambayo kuna wanasayansi walikuwa wanajifanyia kazi kwa msaada wa kukateka kasichana ambako kana super natural powers wanazozihitaji kufanikisha zoezi Lao
Hebu ichambue kidogo tupate preview.. Maana sisi wengine mpaka tupate uchambuzi kidogo ndio tukaitafute.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom