Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,110
- 26,997
Kwangu Mimi katika series Bora za Netflix zenye story nzuri, za muda wote tangu niangalie series zao na kukufanya ushangae na kujiuliza mda wote Basi ni MONEY HEIST & DARK....
Hii Dark nilidownload season zote 3 nikaweka kiporo nikaanza nayo kuanzia alhamisi ya wiki iliyopita hadi leo nipo S03e07 si mchezo mzee hadi unasema hii ndo series sasa ya mtu mzima kukaa na kuangalia sio series hata mtoto mdogo akikaa unajua mwisho wa siku itaishia wapi.... Hapa netflix na wajerumani wamecheza Sana naipa 9/10 kwa upande wangu.
Hiyo dark ngoja niiweke kwenye watchlist