Series (Special thread)

Kama unapenda series za ujasusi (upelelezi wa bila makelele)Kama breaking bad na Homeland..angalia 'The Americans'
 
The most downloaded TV show on Netflix is...
Orange is the new black
Nimeangalia epsode 3 iko POA japokuwa ni ya kitambo kidogo
 
The most downloaded TV show on Netflix is...
Orange is the new black
Nimeangalia epsode 3 iko POA japokuwa ni ya kitambo kidogo
Iyo inapendwa ulaya huko lkni watu wanaofuatilia series huku kwetu hawaiongelei au kuipenda coz Ina ipa promo mapenzi ya jinsia moja na kubadilisha jinsia so haina tofauti sana na Oz au L word (Hizi ni series za kusupport mapenzi ya jinsia moja)
Na wewe kama sikosei ni kati ya watu sidhani hata watatu ka mnafika kuitaja\kuifuatilia hii series kwenye huu uzi
 
Son of anarchy, Ozark, breaking bad, the wire, house of card, homeland, how to get away with murder, peaky blinder, dexter
Poa nenda kaitafute kitu kinaitwa Jack Ryan zipo seasons 2 mpaka sasa na hazina episodes nyingi ndani sijui episodes 20 au 15 kwa kila season hapana!.
Jack Ryan ni mtu wa analyst ndani ya FBI so kazi kubwa ni kuanalyse transactions zote za Kipesa za watu wa wanaotafutwa na marekani so hajui chochote kuhusu kwenda fieid au vitani na kupambana ila kinachomfanya atolewe kufanya kazi za desk job ni uwezo wake wa kufikiri, maamuzi magumu na uchangiaji wake wa mawazo kwenye vikao vikubwa vya FBI.
Hii series Ina story tofauti na imepigwa nchi tofauti pia
So I hope utaenjoy na Kama umeiona niambie nikupe nyingine.
 
Attachments

  • Screenshot_20200607-112718.png
    Screenshot_20200607-112718.png
    412.2 KB · Views: 4
Wakuu msaada wa App nzuri ya kudownloadia series. Nilikuwa nimeweka IDM ila naona inazingua, wananitaka ninunue, Sasa sijui hata naanzia wapi.
Shukrani wakuu
 
Iyo inapendwa ulaya huko lkni watu wanaofuatilia series huku kwetu hawaiongelei au kuipenda coz Ina ipa promo mapenzi ya jinsia moja na kubadilisha jinsia so haina tofauti sana na Oz au L word (Hizi ni series za kusupport mapenzi ya jinsia moja)
Na wewe kama sikosei ni kati ya watu sidhani hata watatu ka mnafika kuitaja\kuifuatilia hii series kwenye huu uzi
Asante mkuu kwa kunisanua nimesha idelete , ilianza vizuri lakini kwanzia kipande cha tatu ndo matransgender ya kaanza, hii siries hafai kabisa kuangalia
 
Hii series ya hbo inaitwa insecure nimeangalia season 1 yote iko POA
Niya mablack America Kama ulipende the chi Basi utaipenda na hii

Queen Of The South Season 4
Series nzuri iyo angalau inatoa ujumbe kikomedi inahusu mtu na mpenzi wake wamekaa gheto kwa pa1 for many years ila mchizi hana kazi na demu ndo anasimamia shows hadi kodi na ubaya unajua mwanaume anaweza kua na mahusiano na mwanamke ashindae nyumbani ila ngumu kwa mwanamke kua na mwanaume hana kazi so vitimbi vinaanza hapo.... Nzuri sana iyo na uzuri uyo demu ndo producer, main character na writer ka sikosei na vile vile amekulia Africa Anajua hadi lugha za kikabila za Africa. Mim nimeangalia season zote 3 so nasubiri hii imalizike niishushe yote
 
Iko na strong adult content
Weka mbali na watoto
Screenshot_2020-06-10-22-29-33-33.jpg
 
Mtu hajui kiingereza wew unabishana nae wa nin mzee wakati kashazoea series za kuanza tu watu wanarusha mikuki na ngumi juu.
Check kipande iko cha The place is under new management (Peaky Blinders)

View attachment 1461660
We unaejua kingereza, una elimu gan?, umesoma wapi,? , una kaz gan? Una biashara gan,? Una nyumba ngap? Una gar ngap? Una pesa kiasi gan? $€$¥¥₩₩#@ wewe.

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
 
Iyo inapendwa ulaya huko lkni watu wanaofuatilia series huku kwetu hawaiongelei au kuipenda coz Ina ipa promo mapenzi ya jinsia moja na kubadilisha jinsia so haina tofauti sana na Oz au L word (Hizi ni series za kusupport mapenzi ya jinsia moja)
Na wewe kama sikosei ni kati ya watu sidhani hata watatu ka mnafika kuitaja\kuifuatilia hii series kwenye huu uzi
Tofauti yetu na wao ni kwamba sisi tupo kama mbuni anayeficha kichwa kichakani huku mwili mzima ukiwa nje halafu anaamini ameshajificha! Orange is a New Black wao wanaelezea uhalisia uliopo kwenye magereza yote; iwe ya Marekani au Afrika! Ikiwa hata shule zetu za boarding za kike, wasichana kwa wasichana wanashiriki mapenzi ya jinsia moja; what about kwenye magereza yetu?!

Of course Orange is a New Black pamoja na Lock Up zimetawaliwa sana na hayo mambo ambayo ni kweli pia NetFlix wanapenda sana hayo lakini linapokuja suala la magereza, ule ndo uhalisia wenyewe labda tujifanye tu kwetu hayapo na hivyo kuifanya fasihi yetu ishindwe kutekeleza moja ya dhima zake muhimu kabisa, ambayo ni kuonesha uovu uliopo kwenye jamii ili hatimae jamii na mamlaka zichukue hatua! Netflix niliwaona wapumbavu wanapojaribu kuingiza homosexuality hadi kwenye Money Heist! I bet wafanya maamuzi wa NetFlix watakuwa ni waliberali waliokubuhu kiasi cha kuingiza mambo ya homesexuality kila filamu/show na pasipo na sababu ya msingi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom