ikhatibu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 2,358
- 2,273
Nimeangalia zote hizo. Ila game of throne ni habari nyengineWatu wengi wamekuwa wakiisifia game of throne ila nafikiri kama watakuwa waliitazama VIKINGS, watakubali game of throne si lolote....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeangalia zote hizo. Ila game of throne ni habari nyengineWatu wengi wamekuwa wakiisifia game of throne ila nafikiri kama watakuwa waliitazama VIKINGS, watakubali game of throne si lolote....
Nimeangalia zote hizo. Ila game of throne ni habari nyengine
Ragnar lothbrok hahaha hatari hili dude..Ndo naitizama niko season ya 4 now, lkn nafikiri natofautiana na wewe aseee kwani Vikings ni best over GOT....
Jamaa amekaa kiree sanaYan Jack Ryan imekushinda.??
Uliishia episode ya ngapi?
Ragnar lothbrok hahaha hatari hili dude..
Haujaeleweka chief.Wakuu movie ya grownish imefikia series ya ngap had sasa?
Tommy ameingia mlango wa kutokea aisee. Lakin nmefurahi muhuni alfie solomon hajafaThe End of season 5 tunasubiri ya 6....ila kimsingi Michael ndo amemsaliti Tommy.
ozark ni moja kati ya best series kwenye list nilizozitazama nakuikubali. nimependa uhalisia wa series huwezi ukalinganisha na queen of the southKuna aliyecheck Ozark wakuu alete mrejesho?
"Bard of blood" mzigo upo Netflix.Kigongo kipya hichoView attachment 1219804
Nashangaa kwanini watu hawaiongelei sana Ozark, ni series poa sanaKuna aliyecheck Ozark wakuu alete mrejesho?
Me nilishindwa kuendelea nayo, niliona imepoa sanaNashangaa kwanini watu hawaiongelei sana Ozark, ni series poa sana
Mmecheki FAUDA ?