Series (Special thread)

yap, nimeiangalia season 1 na ndio ilionifanya niwe na mzuka wa kuifuatilia mwendelezo wake.
huyu kaka yao anayeitwa arthur shelby ni zaidi ya mwehu pindi akishabwia cocaine.
hii series haifai kuangalia na mtu unayemuheshimu hususan season 2.
View attachment 1206662
season 3 loading--------
Huu ubabe kwenye hii series ni balaa. Hapo mbele kidogo ukienda utakutana na myahudi anaitwa alfie .ni hatar kubwa
 
IMG_8806.JPG

kwa wapenz wa drama series, tafuta hii inaitwa GOD FRIENDED ME ipo vizuri sana
 
nimemaliza kuiangalia season 1 nimeamua kuitafuta season 2 lakini mpaka muda huu nimeshindwa kuipata, Natumai shelby brothers watampokea kwa upendo zaidi yule jamaa mkomunisti aliyefunga ndoa na dada yao.
dah! wakati wewe unapanga mkakati X upande wa pili tommy shelby ameshapanga mkakati WXYZ.
maishani mwangu hii itakuwa ni series ya pili kutoka nchi za magharibi kuiangalia.​
nimezipenda hizi nukuu:
  1. “Everyone’s a whore, Grace. We just sell different parts of ourselves.” Tommy Shelby
  2. Men and their cocks never cease to amaze me.” Aunt Polly
  3. Don't f**k with the Peaky Blinders.Aunt polly
  4. All religion is a foolish answer to a foolish question.” – Thomas Shelby
  5. I learnt long ago to hate my enemies, but I’ve never loved one before. Tommy shelby
  6. You have your mother’s common sense but your father’s devilment. I see them fighting. Let your mother win.
Hii mambo ni level ya Breaking Bad!!!!!
Ongeza speed ya kucheki,ufike season 4 ndo kuna wahuni hatari sanaaaaaaaa!!!!Akina Luca Changretta,Aberama Gold,Bonnie Gold,Alfie Solomon s4 ndo hatari
Damn!!Kesho haifiki,tuuuuu S5e5!!!
 
mkuu kwenye huu ulimwengu wa series za kimagharabi ni dummy kabisa, acha nipambane nayo mdogo mdogo then nitahamia kwengine.
unaweza kunitajia series nyengine zenye maudhui kama hii au project yoyote nzuri ilioandaliwa na huyu steven knight?
 
List yangu mpya...

1. PRISON BREAKS
2. VIKINGS
3.BREAKING BAD
4.GOT
5. MONEY HEIST
6.THE 100
7. IF LOVING YOU IS WRONG MAMBO YA MAHABAA...
"IF LOVING YOU IS WRONG" drama nyingi sanaa hakuna uhalisia kabisaa ukija the 100 niliipenda S1 mpaka ya S3 baada ya hapo ni ovyoo wameharibu ni kama arrow walivyoaribu season 3 na kuendelea
 
"IF LOVING YOU IS WRONG" drama nyingi sanaa hakuna uhalisia kabisaa ukija the 100 niliipenda S1 mpaka ya S3 baada ya hapo ni ovyoo wameharibu ni kama arrow walivyoaribu season 3 na kuendelea
Ila kwelii...!! Yani mtu atembee na mke wako alafu ulete drama kama zile
 
"IF LOVING YOU IS WRONG" drama nyingi sanaa hakuna uhalisia kabisaa ukija the 100 niliipenda S1 mpaka ya S3 baada ya hapo ni ovyoo wameharibu ni kama arrow walivyoaribu season 3 na kuendelea
The 100 me hata sijui imeendeleaje yani mliipoteze season ya 3 episode za kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom