The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,218
- 4,533
Asante sana miss, panapo majali nitafika siku mojaKaribu Mwanza.
Asante sana miss, panapo majali nitafika siku mojaKaribu Mwanza.
Umezoea series nyepesi nyepesi ndio maana hiyo ya akili kubwa inakushinda!Hivi breaking bad utamu wake unaanzia wapi mkuu... Niko season ya pili ila nashindwa
Hii series sio kila mtu anaiweza..Hivi breaking bad utamu wake unaanzia wapi mkuu... Niko season ya pili ila nashindwa
Mkuu komaa nayo hautajuta. Mimi mwenyewe niliacha njiani mara mbili, nilipoianza mara yatatu nukakomaa nayo. Hiyo kwangu ni namba mbili, namba moja ni Money Heist.Hivi breaking bad utamu wake unaanzia wapi mkuu... Niko season ya pili ila nashindwa
Achana na Breaking Bad mkuu...Hivi breaking bad utamu wake unaanzia wapi mkuu... Niko season ya pili ila nashindwa
Sasa hiyo breaking bad naipataj mkuu,,kama lugha inayotumikaAchana na Breaking Bad mkuu...
Tafuta series nyingine ya kuangalia...
Yaani Breaking Bad hii ninayoijua mimi ukifika season ya pili tu ujue hauiachi mpaka inaisha..!
Sasa hiyo breaking bad naipataj mkuu,,kama lugha inayotumika
Westword na Handmaid kila nikiziangalia huwa sizielewiHivi ni mimi tuu niliyechoka hizi series za ma-cia,fbi,security service sijui homeland????Zimekuwa kama za kikorea sasa,lazima awepo mfalme,mwanamfalme n.k.
Series iwe na upekee fulan hivi,hauichoki!Kama hizi hapa
Westword
Godless
Handmaid's Tail
Hell on wheels
Ukizoea mambo ya ma-FBI haya,hizo muvi lazima uzione jau.Ni kama Breaking Bad vile,wengi walianza kuikataa,ila kadri ukijikaza kuicheki,ndo utam unazidi sasaWestword na Handmaid kila nikiziangalia huwa sizielewi
Karibu Mwanza.
Endelea..unaanzia season 2Hivi breaking bad utamu wake unaanzia wapi mkuu... Niko season ya pili ila nashindwa
Hii Westworld inahusu nini mkuu?Hivi ni mimi tuu niliyechoka hizi series za ma-cia,fbi,security service sijui homeland????Zimekuwa kama za kikorea sasa,lazima awepo mfalme,mwanamfalme n.k.
Series iwe na upekee fulan hivi,hauichoki!Kama hizi hapa
Westword
Godless
Handmaid's Tail
Hell on wheels
Hebu njoo pm kwanzaBiteee
Hebu njoo pm kwanza
Kuna nn?
NajaNjoo whtsap