Series (Special thread)

Imepata order ya S02 &S03
IMG_20190804_110407.jpeg
 
aah!!aise hiyo series nilishindwa hatakumalizia.ni ovyo ila ni kwa maoni yangu..haiwezekani the source ya kutatuwa matatizo ni mmoja tu bila yeye mambo hayaendi.....ni sawasawa na series ya "BLINDSPOT" haziendani na uwalisia kabisa yan
mimi mwenyewe sijashituka sana kwa mzigo huu kuwekwa pending...

Nimeitazama yote..nilivutiwa hasa na episode ya kwanza,nikajua itakuwa moto wa kuotea mbali,kuiangalia hadi mwisho hakuna matarajio niliyotegemea...ya kawaida sana japo wahusika wake ni maarufu na wana kazi nzuri tu.
 
aah!!aise hiyo series nilishindwa hatakumalizia.ni ovyo ila ni kwa maoni yangu..haiwezekani the source ya kutatuwa matatizo ni mmoja tu bila yeye mambo hayaendi.....ni sawasawa na series ya "BLINDSPOT" haziendani na uwalisia kabisa yan
Me mwenyewe niliachia njian sikuielewa kabisa. Series ya kiboya sana.
 
Home land inahusu nini ???
Kuna marine mmoja (Nicholas Brody) jamaa ni mmarekani alitekwa na kiongoz mmoja wa kigaidi ule uislam wa kibabe wenyewe baada ya miaka 8 akaenda kukombolewa na Wamarekani sasa kuna cia mmoja mdada akawa anahisi jamaa katumwa na uyo gaidi kuiba siri za marekani na kuzituma huko alikokua ametekwa maana jamaa Brody alikua amesilimishwa amekua muislam pia walitekwa wawili halafu akarudi jamaa peke yake lakini katika upelelezi huyo cia aka follow in love na jamaa hadi akapta mimba ya jamaa so ikafika hatua huyo cia akawa ni kama yupo upande wa jamaa akawa anamsaidia kwenye michakato mingi mfano hadi alimtorosha Brody kisa mapenzi, kisa ndio kipo hivo ingawa mbele visa vingine zaidi vinaongezeka
 

Similar Discussions

67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom