Series (Special thread)

Designated Survivor tayari mzigo wote uko kwa hewa
Hii imeniboa sana,imejaa ushoga wa wazi wazi kabsa,naanza kuamini kuwa series nyingi zinazokuwa cancelled ni zile zisizokuwa na mambo haya kishenzi,,hii toka huko nyuma sikuona mambo haya,,leo hii Season 3 wanatuletea ushoga,ikumbukwe tu hii kabla ya Netflix kuichukua,tayali ilisemekana imekuwa banned,,Netflix wamekuja na season 3 kwa mashart ya ushoga kuwepo,,kwangu mimi imeniboa sana!!!
Hata isipopata nafasi ya kuendelea na season 4 poa tu!!
 
Wakuu nimeangalia Hii Mr robot nimebakiza episode moja Nimalize season ya kwanza lakini nimepata wakati mgumu sana kuielewa wadau walioangalia hadi season 3 nipeni uzoefu vipi iko fresh huko mbele au ndio hivyo hivyo kama season 1.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom