Series (Special thread)

Wadau wa series Thread kuna series moja Mpya inaitwa the order Season 1 Kuna Aliyeichek...Maaan trailer Lake Liko poa Sana Inafanan Na teen wolf kidogo Je Kuna Aliyeichk....?
 
Hahahaaa!!! Kwenye uandishi hakuna kitu kigumu na kinachowashinda waandishi wengi kama ku-develop audience emotion! Moja ya maeneo ambayo Mwandishi anaweza kutengeneza emotion ni kama haya ya kuleta jambo ambalo Audience ilikuwa inataka kinyume chake! Audience ilipenda sana imuone Daenery anakuwa The Queen of The Iron Throne au Jon Snow anachukua the Iron Throne huku pembeni yake akiwepo Dan as a Queen!!!

Waandishi wakapiga chenga, na kumuonesha ni namna gani Daenery alivyo monster asiyefaa kuchukua taji na hivyo kuibua emotions and anger kwa fans hadi watu wanataka a spinn-off or new ending!

Endapo Waandishi wangefanya kile ambacho audience wangependa kiwe, basi hii discussion hivi sasa isingekuwepo! Na ndio maana wakati mwingine unakuta Waandishi "wanamuua" one of the most favorable or innocent character kwenye series or movie kama ambavyo walimuua Shireen Baratheon kwenye GoT! Kale kabinti was very innocent but charming lakini bado the Lord of Light (in fact Waandishi) akamtaka huyo huyo na kupelekea kutokea kwa moja ya vifo vifo vya kikatili kabisa kuwahi kutokea pale GoT!

Baada ya Sergeant Brody kunyongwa, mjadala ukazuka miongoni mwa wapenzi wa Homeland kwa sababu hawakutaka afe that soon! Hata kwenye Power, fans hawakutaka Kannan (50 Cent) afe!! Oh Lord, Captain Brad Bellick is no more! Nilikasirika vibaya mno kwa sababu, pamoja na kwamba watu walimpenda sana Michael Scolfield kutokana na Big Brain aliyokuwa nayo, but my favorite character alikuwa CO Captain Brad Bellick!! Kifo cha Omar Little kwenye The Wire kili-disappoint wengi! Tena bora basi angeuawa na Mafia wenzake! Seriously, you kill Carl in the Walking Dead ili iwaje?! I started to hate Nina Myers a moment she shot Teri Bauer at point blank! I loved Anna Lucia na ule utemi utemi wake hadi basi!!

Moja ya sababu inayofanya Bongo Movie iwe inaboa ni pale kuanzia dakika 10 za mwanzo tu, tayari unajua nani atakuwa demu wa nani, nani atakufa, nani ata-cheat, n.k!

Speaking of sergeant Brody, mimi huwa nina imani bado atatokea kwenye season nyingine asee, kifo chake huwa sikikubali kabisa. Ni kama yule daktari wa last ship, sema huwa nawaza siku agent yeyote au Redington mwenyewe akifa kwenye Blacklist itakuwaje, maana kile kipindi anatafutwa Samar Navabi niliona kabisa kuna kitu kitakosekana akiuawa.
 
Brave ni kama strike back.Sema hawa machalii wa brave wanajifanya wajuaji sana.kinachoboa wote watano hakuna hata mmoja anajeruiwa wala kutekwa wala kufa,Uwongo mwingi episode 4 nimeishindwa nimeibwaga,Jack rayn(sina hakika na spelling)Ni kali ila mwisho wamezingua mousa bin suleiman kafa kizembe sana.Empire inazingua ugomvi wa familia kila siku.List yang ya kumi bora ni
1:Viking
2:Game of thrones
3:Original
4:power
5:spartacus
6:Breaking bad
7:vampire diary
8:The 100 (nilipenda season ya 1tu)
9:under the doom
10:v
Bonus:Queen of south

Hizi sikuzipenda na nyingi sikuzimaliza
Witch of the east
Legend of seeker
melin
Lost
Walking dead
Gotham
Lacasa na narcos(lugha tatizo nilikosa sub title)
Last ship (mbelen ya kawaida)
Teen wolf
Person of interest
Bad land
Blind spot
West world (nimeishindwa episode ya kwanza)
Supernatural
Dracula
Beauty and the beast

Zingine sikumbuki ila nimeangalia nyingi sana za zamani kidogo.

View attachment 1108533
Hahaaaa mkuu umenichekesha hapo kwamba jamaa wa the brave wanajifanya wajuaji..
Cheki na series moja inaaitwa 'seal team' iko season ya pili ina episodes kama 44 (including s1&2) ni kali kinoma iko kama the brave..

Wale jamaa wa the brave hawafi wala kuumia sababu ni seal team.. jamaa wako njema na wako trained hatari + backup ya technologia kali ya mmarekani.
 
Big up mkuu umeongea vizuri sana lakini for real kwenye GOT Wamezingua dany alivokufa. On another side kwenye Power

Big up mkuu umeongea vizuri sana lakini for real kwenye GOT Wamezingua dany alivokufa. On another side kwenye Power kanan stark alistaili kufa maana alikua snitch kinoma
Kanan hata mimi nilikuwa nam-mind sana na u-snitch wake!
 
Speaking of sergeant Brody, mimi huwa nina imani bado atatokea kwenye season nyingine asee, kifo chake huwa sikikubali kabisa. Ni kama yule daktari wa last ship, sema huwa nawaza siku agent yeyote au Redington mwenyewe akifa kwenye Blacklist itakuwaje, maana kile kipindi anatafutwa Samar Navabi niliona kabisa kuna kitu kitakosekana akiuawa.
Man! Bado tu una ndoto za kurejea St Brody?! Hizo ndoto nilikuwa nazo hadi season 4 lakini kwa sasa nime-movie on kwa sababu nimeshakubali ukweli mchungu kwamba Sgt Brody is no more labda watuletee habari za kifo cha Michael Scofield! Mtu mwingine ambae hadi sasa sitaki kukubali kwamba amekufa ni Paul Kellerman kwenye PB ingawaje mtu unaona kabisa kwamba jamaa kala shaba at a short range! Sasa anapona vp!
 
Yeah sidhani kama nitakuja kuicheki maana kama unavyosema ipo mbali sana na huwa napenda nifatilie kitu toka mwanzo..sahv bdo naendelea na Blacklist, House of cards,na The Americans
Sure, ni ngumu sana kuianza series ambayo ina takribani episodes 350 by now! Dah, yaani umenitonesha donda ulipoitaja The Americans! It was too soon to end! Uzuri ni kwamba, kutokana na ending yake, naiona wazi ipo siku itarudi kwa Second Generation Russian Spies!
 
The Americans niliiangalia mpk nikajihisi nipo ndani ya movie yenyewe. Phillip and Elizabeth were super genious!

Halafu in real life walikuja kuoana!
 
The Americans niliiangalia mpk nikajihisi nipo ndani ya movie yenyewe. Phillip and Elizabeth were super genious!

Halafu in real life walikuja kuoana!
Yah! Upo sahihi kabisa! Yaani nitai-miss sana The Americans! Sema walivyotupiga chenga kwenye season finale; kila mmoja akabaki hoi manake kila mtu alitarajia The Jennings wangekuwa arrested! Na ndio maana napata imani kwamba itarejea tu!!
 
Naona hbo wakombioni kuandaa prequelbya GOT
Huenda ikaitwa The long Night

Yeah nimesikia kuhusu hyo ishu sema yenyewe kwa maelezo ya George rr Martin setting yake itakuwa ni 1000 years before the events of the original GoT na itakuwa ni sehemu nyingine so hakuta kuwa na zile houses kama Targaryens etc
 
Aise wakuu hii "DECODED" kama hujaangalia fanya uitafute hutojutia muda wako ni season kal sana ya wachina
 
Kuna mapanga mapanga na mambo ya kupaa hewani??
Maana series za uongo za hivyo huwa sizikubali..
Kama hutojali naomba intro kidogo.
Hamna hizo mkuu humu kuna issue za mahesabu sana yaan ishu za kupambana na magaid waliokuwa wanaipiga china afuu sasa kuna gaid mkubwa sana alifanya mahesabu na kutengeneza code inaitwa purple code kwa lengo la kuwa wanaficha mawasiliano yao yasigundilike mwisho wa siku anapatikana dogo akili zake haziko timamu anapewa hiyo kazi na mwanajeshi mkubwa sana kwa lengo la kuisolve hiyo hesabu(decode) dogo ni genius atatumia muda mrefu sana mpk aje aisolve hiyo code maana wengine walikuwa wakisolve wanakuwa vichaa jinsi ilivyo kuwa na fumbo

Kingine action za mitutu na kupigana kis cha mapenzi vyote viko humu mkuu kaangalie hii ikikuboa bas jua your not born kuja kufurahia maisha ya movie nenda kafuatilie mieleka
 
Acha nikakonekt wifi ya ofisi nishushe huu mzigo fasta
 
So far My All time tv shows:the Americans,breaking bad,24,Fargo,game of thrones,band of brothers,homeland,ray Donovan,vikings,banshee,the wire,the sopranos,true detective,house of cards,prison break,desperate housewives, strike back,the night of,better call Saul,designated survivor,the last ship,the blacklist
 
Similar Discussions

67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom