Series (Special thread)

Kweli upo vizuri mzee sema to be honest Got hii season ya 8 wamezingua sana...naona kama wameirush kiasi flani maana ukiangalia kwaumakini unaona bdo kuna maswali mengi hayajajibiwa na kuna plotholes za kutosha na hata story arcs za characters wengine mle hazileti maana yoyote..kwa mtizamo wangu GOT ni moja kati ya best shows of all time lakin ilikuwa na potential ya kuwa bora zaidi ya walivyokuja kuifanya hapo mwishoni.
Kwa hoja yako hii nakubaliana na wewe kwa 100%! Mwaka jana GoT haikutoka, kwa maana nyingine tunaweza kusema S08 imetengenezwa kwa miaka 2! Hata hivyo, wakati naangalia episode 6 ambayo hata hivyo sijaimaliza; nilijiuliza ina maana hizi ndo 6 episodes za kutengeneza kwa miaka 2! Hata kama filming ilichelewa, rewritting ingeweza kufanyika tena na tena na kuja na tight season ending. Na hilo unalosema kwamba "naona kama wameirusha kiasi fulani!" Yaani sio kama wameirusha kwa kiasi fulani bali plain blank wameirusha, tena sana tu! It's like a show ambayo ilipoteza mvuto kwa watazamaji na network kuamua kui-cancel in second half na kwahiyo inalazimishwa ending yake! Yaani imenikumbusha Prison Break ambayo iliishia kwa Michael "kufa"! Episodes za mwisho zilijaa light plotting ambazo hazikuwa na msuko wowote wa maana wa matukio!
 
Na kweli maana kama movie yoyote ikiwa inatabirika basi tena inakosa mvuto...mfano:- daenery angekua ndio QUEEN wa 7 kingdom inamana ingekosa mvuto,.. na mi naona kama ule sio mwisho wake nadhani may be atakuja kutokea huko mbele tena na dragon wake.

Na endapo John snow angekuwa King wa hizo kingdom bado ingekuwa haina mvuto ila sasa naona kama imerudi upya ...
Hahaha!! Mkuu, kwamba anaenda kufufuliwa na Dragon halafu anarudi ku-reclaim The Iron Throne?! Anyway, Hollywood ni zaidi ya tuijuavyo!
 
Kwa hoja yako hii nakubaliana na wewe kwa 100%! Mwaka jana GoT haikutoka, kwa maana nyingine tunaweza kusema S08 imetengenezwa kwa miaka 2! Hata hivyo, wakati naangalia episode 6 ambayo hata hivyo sijaimaliza; nilijiuliza ina maana hizi ndo 6 episodes za kutengeneza kwa miaka 2! Hata kama filming ilichelewa, rewritting ingeweza kufanyika tena na tena na kuja na tight season ending. Na hilo unalosema kwamba "naona kama wameirusha kiasi fulani!" Yaani sio kama wameirusha kwa kiasi fulani bali plain blank wameirusha, tena sana tu! It's like a show ambayo ilipoteza mvuto kwa watazamaji na network kuamua kui-cancel in second half na kwahiyo inalazimishwa ending yake! Yaani imenikumbusha Prison Break ambayo iliishia kwa Michael "kufa"! Episodes za mwisho zilijaa light plotting ambazo hazikuwa na msuko wowote wa maana wa matukio!

Big up Mkuu uko vizuri sana naona tunafanana sana kimtizamo especially kwenye hyo sentensi niliyo bold hapo juu...ningependa kujua list yako ya top 10 best series ever!
 
Kweli upo vizuri mzee sema to be honest Got hii season ya 8 wamezingua sana...naona kama wameirush kiasi flani maana ukiangalia kwaumakini unaona bdo kuna maswali mengi hayajajibiwa na kuna plotholes za kutosha na hata story arcs za characters wengine mle hazileti maana yoyote..kwa mtizamo wangu GOT ni moja kati ya best shows of all time lakin ilikuwa na potential ya kuwa bora zaidi ya walivyokuja kuifanya hapo mwishoni.
Hii season ya 8 wameyumba kila kitu... enzi za season 1 king baratheon alikua anatumia miezi miwili kutoka winterfell hadi kings landing lakini hii ya nane sijui walikua wanawahi wapi unakuta arya anatumia kama siku 1 au pale kings landing inachomwa then next episode palishajengwa flesh wakati ni week 2 tu zimepita..

Hii season walikua hawajajipanga walitaka wamalize tu mchezo kila mtu akalale
 
Hahahaaa!!! Kwenye uandishi hakuna kitu kigumu na kinachowashinda waandishi wengi kama ku-develop audience emotion! Moja ya maeneo ambayo Mwandishi anaweza kutengeneza emotion ni kama haya ya kuleta jambo ambalo Audience ilikuwa inataka kinyume chake! Audience ilipenda sana imuone Daenery anakuwa The Queen of The Iron Throne au Jon Snow anachukua the Iron Throne huku pembeni yake akiwepo Dan as a Queen!!!

Waandishi wakapiga chenga, na kumuonesha ni namna gani Daenery alivyo monster asiyefaa kuchukua taji na hivyo kuibua emotions and anger kwa fans hadi watu wanataka a spinn-off or new ending!

Endapo Waandishi wangefanya kile ambacho audience wangependa kiwe, basi hii discussion hivi sasa isingekuwepo! Na ndio maana wakati mwingine unakuta Waandishi "wanamuua" one of the most favorable or innocent character kwenye series or movie kama ambavyo walimuua Shireen Baratheon kwenye GoT! Kale kabinti was very innocent but charming lakini bado the Lord of Light (in fact Waandishi) akamtaka huyo huyo na kupelekea kutokea kwa moja ya vifo vifo vya kikatili kabisa kuwahi kutokea pale GoT!

Baada ya Sergeant Brody kunyongwa, mjadala ukazuka miongoni mwa wapenzi wa Homeland kwa sababu hawakutaka afe that soon! Hata kwenye Power, fans hawakutaka Kannan (50 Cent) afe!! Oh Lord, Captain Brad Bellick is no more! Nilikasirika vibaya mno kwa sababu, pamoja na kwamba watu walimpenda sana Michael Scolfield kutokana na Big Brain aliyokuwa nayo, but my favorite character alikuwa CO Captain Brad Bellick!! Kifo cha Omar Little kwenye The Wire kili-disappoint wengi! Tena bora basi angeuawa na Mafia wenzake! Seriously, you kill Carl in the Walking Dead ili iwaje?! I started to hate Nina Myers a moment she shot Teri Bauer at point blank! I loved Anna Lucia na ule utemi utemi wake hadi basi!!

Moja ya sababu inayofanya Bongo Movie iwe inaboa ni pale kuanzia dakika 10 za mwanzo tu, tayari unajua nani atakuwa demu wa nani, nani atakufa, nani ata-cheat, n.k!
Kwan jmn hii GOT inamaan pale alivounguza Kings landing ndo imeishia pale au kuna epsode ya mwisho asee?
 
Nakubaliana sana na jins GOT ilivyoisha...imeset idea kwamba uongozi usiwe wa kurithi....uwe wa kuchaguliwa.

Falsafa aliyofunga nayo the imp....is the best reasoning of all times!!
 
Big up Mkuu uko vizuri sana naona tunafanana sana kimtizamo especially kwenye hyo sentensi niliyo bold hapo juu...ningependa kujua list yako ya top 10 best series ever!
Nadhani sote tuna kauelewa fulani kwenye storytelling na hivyo kuona mapungufu kwenye plotting na jinsi ilivyolazimishwa kwishal Anyway, my Top 10 ni hii hapa:-
1. The Americans,
2. 24,
3. House of Cards,
4. Breaking Bad,
5. The Last Ship
6. The Wire
7. Prison Break
8. Homeland
9. Power
10. Game of Thrones

Bonus ni Sopranos, Gray Anatomy, Alias, Suit, and The Walking Dead.
 
Naona list yako iko similar sana na ya kwangu na karibia kila series uliyotaja hapo nimeshaiangalia except Gray Anatomy na Alias
 
Hizi zote kali na zenyewe! Sema Grey's Anatomy kama hujaianza kabisa, inahitaji moyo manake ipo mbali sana! Ngoma ni ya tangu 2005 na bado inaendelea! Halafu zote ni full season>> above 22 episodes kwa kila season! Uzuri ni kwamba, yenyewe ni procedural drama; unaweza kuanzia popopte pale na usi-feel kwamba umeachwa nyuma! Na Alias na yenyewe ni procedural.
 
Wakuu mimi sio mfatiliaji sana wa series coz huwa navutika na series chache sana. Sasa nimeona niweke list ya series nilizowahi kuangalia ili nipate mchango kwa wadau humu nione ni series gani zinazoendana na hizo ambazo zitaweza kunivutia.
1. American Gods
2. Gotham
3. The last man on earth
4. Strike back
5. The Get Down
6. Atypical
7. Vikings
8. The 100
9. Teen wolf
10. The origin
11. Stranger things
12. O.Z
13. The simpsons
14. Atlanta
15. Money heist (la casa de papel).
 
Brave ni kama strike back.Sema hawa machalii wa brave wanajifanya wajuaji sana.kinachoboa wote watano hakuna hata mmoja anajeruiwa wala kutekwa wala kufa,Uwongo mwingi episode 4 nimeishindwa nimeibwaga,Jack rayn(sina hakika na spelling)Ni kali ila mwisho wamezingua mousa bin suleiman kafa kizembe sana.Empire inazingua ugomvi wa familia kila siku.List yang ya kumi bora ni
1:Viking
2:Game of thrones
3:Original
4:power
5:spartacus
6:Breaking bad
7:vampire diary
8:The 100 (nilipenda season ya 1tu)
9:under the doom
10:v
Bonus:Queen of south

Hizi sikuzipenda na nyingi sikuzimaliza
Witch of the east
Legend of seeker
melin
Lost
Walking dead
Gotham
Lacasa na narcos(lugha tatizo nilikosa sub title)
Last ship (mbelen ya kawaida)
Teen wolf
Person of interest
Bad land
Blind spot
West world (nimeishindwa episode ya kwanza)
Supernatural
Dracula
Beauty and the beast

Zingine sikumbuki ila nimeangalia nyingi sana za zamani kidogo.

20190525_205247.jpeg
 
Wakuu mimi sio mfatiliaji sana wa series coz huwa navutika na series chache sana. Sasa nimeona niweke list ya series nilizowahi kuangalia ili nipate mchango kwa wadau humu nione ni series gani zinazoendana na hizo ambazo zitaweza kunivutia.
1. American Gods
2. Gotham
3. The last man on earth
4. Strike back
5. The Get Down
6. Atypical
7. Vikings
8. The 100
9. Teen wolf
10. The origin
11. Stranger things
12. O.Z
13. The simpsons
14. Atlanta
15. Money heist (la casa de papel).
The last man ni kal mkuu?Inahusu nini
 
Hizi zote kali na zenyewe! Sema Grey's Anatomy kama hujaianza kabisa, inahitaji moyo manake ipo mbali sana! Ngoma ni ya tangu 2005 na bado inaendelea! Halafu zote ni full season>> above 22 episodes kwa kila season! Uzuri ni kwamba, yenyewe ni procedural drama; unaweza kuanzia popopte pale na usi-feel kwamba umeachwa nyuma! Na Alias na yenyewe ni procedural.

Yeah sidhani kama nitakuja kuicheki maana kama unavyosema ipo mbali sana na huwa napenda nifatilie kitu toka mwanzo..sahv bdo naendelea na Blacklist, House of cards,na The Americans
 
My best series za muda wote mpaka sasa
Prison break
Game of throne
Into the badland
Money heist
Viking
Banshee
Power
Queen of south
Jumong
Iris...,....nataka niangalie breaking bad sijuii kma nitaipenda sijawahii kuiona na homeland hiyo ndo list yangu wadau kama nilivyoipanga na hata kwa rank na amini ni mmoja kati za tv show bora kabisa za muda wote
 
Into the badlands ipo vizur
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom