Series (Special thread)

ALIAS
ya zamani kidogo but bonge la series.

A young woman learns she has a familial history of undercover work and agrees to become an international spy for a supposed secret branch of the CIA. The secrecy complicates her social and love lives, but it's nothing compared to what happens when she finds out her employer has no ties to the CIA.
Awards: Golde
Ina season ngapi na episodes ngapi?
 
Wakuu najua kila mtu ana mitizamo yke na preference zake ila ingependeza kama tukajaribu kushare ideas za series kali ambazo umeenjoy kuziangalia zaidi so far..itakuwa rahisi kama kila mtu akataja Top 10 list yake,personally mi napenda series za aina zote kasoro za kikorea na za vichekesho/Sitcoms..na hii ndo all time list yangu!

1.Prison Break

2.GoT

3. 24

4. Breaking Bad

5.Vikings

6.Spartacus

7. Blacklist

8. The Last Kingdom

9. Into the Badlands

10. Strike Back

1. Blacklist
2. The Last Ship
3. Homeland
4. Money Heist
5. Blindspot (Season 1&2 pekee)
6. The 100
7. Strike Back
8. Crossing
9. Designated survivor
10. Prison Break (japo sikubahatika kuimaliza)
 
Ha ha mwenyewe ilinishinda episode za mwanzo tu..mi series ikishakuwa na uongo uongo mwingi basi naidelete..

Hata Blindspot walipoanza kuleta imagination za kipuuzi nikaachana nao!

Hapo kwenye Blindspot nakuunga mkono, mimi niliipigia debe kwa washkaji waiangalie lakini season 3 ilipoanza habari za mtu kuwakawaka nikaona sio type yangu nikaipotezea hadi leo sijui kinachoendelea
 
Rich.com na patterson walinifanya niendelee kuiangalia
 
Game of Thrones nimeipenda, nimeanza kuiangalia tangu 2013 na kila season ikitoka nlikua naifatilia sana. Kwenye kumalizia naona jamaa wamefeli sana. Episode 5 na 6 ya season 8 sijazipenda hata kidogo. Hata kama mtaniita team cersie lakini hizi episode ni mbaya. Huwezi kuamini episode ikitoka nlikua naiangalia mara 3 kwa wiki hiyo. Lakini episode ya 5 nliangalia mara moja tu, na hii ya 6 wala sitairudia.
 
wamechemka sio kidogo,dragoni hakutakiwa kuangamiza mji mzima ilitakiwa watu wapambane kwenye ulingo kisha ilitakiwa main character john snow awe king.
wamechemsha sana
 
Game of thrones jamaa wamezingua sana imeisha kiboya, nahisi hii season waliitoa wapige pesa tuu, story walikua hawana
 
wamechemka sio kidogo,dragoni hakutakiwa kuangamiza mji mzima ilitakiwa watu wapambane kwenye ulingo kisha ilitakiwa main character john snow awe king.
wamechemsha sana
Hahahaaa!!! Kwenye uandishi hakuna kitu kigumu na kinachowashinda waandishi wengi kama ku-develop audience emotion! Moja ya maeneo ambayo Mwandishi anaweza kutengeneza emotion ni kama haya ya kuleta jambo ambalo Audience ilikuwa inataka kinyume chake! Audience ilipenda sana imuone Daenery anakuwa The Queen of The Iron Throne au Jon Snow anachukua the Iron Throne huku pembeni yake akiwepo Dan as a Queen!!!

Waandishi wakapiga chenga, na kumuonesha ni namna gani Daenery alivyo monster asiyefaa kuchukua taji na hivyo kuibua emotions and anger kwa fans hadi watu wanataka a spinn-off or new ending!

Endapo Waandishi wangefanya kile ambacho audience wangependa kiwe, basi hii discussion hivi sasa isingekuwepo! Na ndio maana wakati mwingine unakuta Waandishi "wanamuua" one of the most favorable or innocent character kwenye series or movie kama ambavyo walimuua Shireen Baratheon kwenye GoT! Kale kabinti was very innocent but charming lakini bado the Lord of Light (in fact Waandishi) akamtaka huyo huyo na kupelekea kutokea kwa moja ya vifo vifo vya kikatili kabisa kuwahi kutokea pale GoT!

Baada ya Sergeant Brody kunyongwa, mjadala ukazuka miongoni mwa wapenzi wa Homeland kwa sababu hawakutaka afe that soon! Hata kwenye Power, fans hawakutaka Kannan (50 Cent) afe!! Oh Lord, Captain Brad Bellick is no more! Nilikasirika vibaya mno kwa sababu, pamoja na kwamba watu walimpenda sana Michael Scolfield kutokana na Big Brain aliyokuwa nayo, but my favorite character alikuwa CO Captain Brad Bellick!! Kifo cha Omar Little kwenye The Wire kili-disappoint wengi! Tena bora basi angeuawa na Mafia wenzake! Seriously, you kill Carl in the Walking Dead ili iwaje?! I started to hate Nina Myers a moment she shot Teri Bauer at point blank! I loved Anna Lucia na ule utemi utemi wake hadi basi!!

Moja ya sababu inayofanya Bongo Movie iwe inaboa ni pale kuanzia dakika 10 za mwanzo tu, tayari unajua nani atakuwa demu wa nani, nani atakufa, nani ata-cheat, n.k!
 
Big up mkuu umeongea vizuri sana lakini for real kwenye GOT Wamezingua dany alivokufa. On another side kwenye Power

Big up mkuu umeongea vizuri sana lakini for real kwenye GOT Wamezingua dany alivokufa. On another side kwenye Power kanan stark alistaili kufa maana alikua snitch kinoma
 
Na kweli maana kama movie yoyote ikiwa inatabirika basi tena inakosa mvuto...mfano:- daenery angekua ndio QUEEN wa 7 kingdom inamana ingekosa mvuto,.. na mi naona kama ule sio mwisho wake nadhani may be atakuja kutokea huko mbele tena na dragon wake.

Na endapo John snow angekuwa King wa hizo kingdom bado ingekuwa haina mvuto ila sasa naona kama imerudi upya ...
 
Hahahaaa!!! Kwenye uandishi hakuna kitu kigumu na kinachowashinda waandishi wengi kama ku-develop audience emotion! Moja ya maeneo ambayo Mwandishi anaweza kutengeneza emotion ni kama haya ya kuleta jambo ambalo Audience ilikuwa inataka kinyume chake! Audience ilipenda sana imuone Daenery anakuwa The Queen of The Iron Throne au Jon Snow anachukua the Iron Throne huku pembeni yake akiwepo Dan as a Queen!!!

Waandishi wakapiga chenga, na kumuonesha ni namna gani Daenery alivyo monster asiyefaa kuchukua taji na hivyo kuibua emotions and anger kwa fans hadi watu wanataka a spinn-off or new ending!

Endapo Waandishi wangefanya kile ambacho audience wangependa kiwe, basi hii discussion hivi sasa isingekuwepo! Na ndio maana wakati mwingine unakuta Waandishi "wanamuua" one of the most favorable or innocent character kwenye series or movie kama ambavyo walimuua Shireen Baratheon kwenye GoT! Kale kabinti was very innocent but charming lakini bado the Lord of Light (in fact Waandishi) akamtaka huyo huyo na kupelekea kutokea kwa moja ya vifo vifo vya kikatili kabisa kuwahi kutokea pale GoT!

Baada ya Sergeant Brody kunyongwa, mjadala ukazuka miongoni mwa wapenzi wa Homeland kwa sababu hawakutaka afe that soon! Hata kwenye Power, fans hawakutaka Kannan (50 Cent) afe!! Oh Lord, Captain Brad Bellick is no more! Nilikasirika vibaya mno kwa sababu, pamoja na kwamba watu walimpenda sana Michael Scolfield kutokana na Big Brain aliyokuwa nayo, but my favorite character alikuwa CO Captain Brad Bellick!! Kifo cha Omar Little kwenye The Wire kili-disappoint wengi! Tena bora basi angeuawa na Mafia wenzake! Seriously, you kill Carl in the Walking Dead ili iwaje?! I started to hate Nina Myers a moment she shot Teri Bauer at point blank! I loved Anna Lucia na ule utemi utemi wake hadi basi!!

Moja ya sababu inayofanya Bongo Movie iwe inaboa ni pale kuanzia dakika 10 za mwanzo tu, tayari unajua nani atakuwa demu wa nani, nani atakufa, nani ata-cheat, n.k!

Kweli upo vizuri mzee sema to be honest Got hii season ya 8 wamezingua sana...naona kama wameirush kiasi flani maana ukiangalia kwaumakini unaona bdo kuna maswali mengi hayajajibiwa na kuna plotholes za kutosha na hata story arcs za characters wengine mle hazileti maana yoyote..kwa mtizamo wangu GOT ni moja kati ya best shows of all time lakin ilikuwa na potential ya kuwa bora zaidi ya walivyokuja kuifanya hapo mwishoni.
 
Nimemaliza kuangalia season finale ya The Enemy Within sijapenda walivyoifunga. Nadhani nao washaanza kuishiwa idea wameimaliza kihuni sana
 
Now nimeanza Blood and Treasure looks interesting so far kwa hizo episodes mbili walizotoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom