Cheki jack ryan then last kingdom...ni kaliiiiiIpi inashawishi kuanza nayo.Power teyari nimeshaimaliza.View attachment 1090172View attachment 1090175
we tunaendana mkuu, umecheki series zip mkuu ntakua nazipenda na mimiHa ha mwenyewe ilinishinda episode za mwanzo tu..mi series ikishakuwa na uongo uongo mwingi basi naidelete..
Hata Blindspot walipoanza kuleta imagination za kipuuzi nikaachana nao!
Niko naiangalia hapa...hii series ni kali sana aiseeh
Nadownload kwa kutumia index ofUnaangalia kutokea upande upi kiongozi kwenye mega box au?
R.I.P PILIGRIM
R.I.P MK
GET WELL SOON TILDA
kati ya series za mapigano into the Badlands walihamua aisee...ni mboko tu kila baada ya dka kadhaa
The widow salute
Homelandwe tunaendana mkuu, umecheki series zip mkuu ntakua nazipenda na mimi
Homeland
American odyssey
The Americans
Condor
The Bodyguard
The Brave
Jack Ryan
Ha ha kweli aisee.. Sema nimecheki kitambo nikaisahau Jack Bauwer alikuwa mnyama sana..Bila 24...list yako ni incomplete.
THANKS mkuu hapo nishazicheki the americans na homeland wacha nizicheki hizo zingineHomeland
American odyssey
The Americans
Condor
The Bodyguard
The Brave
Jack Ryan
Asante nimetest nimepata lakini hakuna option ya kustream tu?maana kudownload kunachosha sana.Nadownload kwa kutumia index of
Jaribu the LegaciesJamn msaada
series gani ina uchawi au magic fulani hivi?
Sijaiona the wire lakini homeland ni bonge la seriesHivi wadau kati ya Homeland na The Wire ni ipi kali zaid!??. Natafuta series ya kuangalia ndio najiuliza kuhusu hizi mbili. Homeland VS The wire
Asante sana mkuu. kesho itabidi nianzane nayo mapema kbsaSijaiona the wire lakini homeland ni bonge la series
Anza na homeland.. Hakika hutajutiaHivi wadau kati ya Homeland na The Wire ni ipi kali zaid!??. Natafuta series ya kuangalia ndio najiuliza kuhusu hizi mbili. Homeland VS The wire