Series (Special thread)

Upo kama mimi, kila nikijaribu kuianza nahisi uchovu.
Kuna kipindi wakati GoT ipo hot nilishawishika namimi nianze kuichek, daaah niliishia episode 2 tu za mwanzo nikaona maruweruwe nkaipiga chini. Ila baada ya kukosa kabisa cha kuangalia nikabidi niirudie aiseee mbona nikawa mlevi wa GoT mazimaaaa

Uzuri wa the Americans kuanzia episode ya kwanza ni amsha yaani
 
Inahusu nini hii series
Mkuu unaweza cheki hapo
IMG_20181231_015408.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Terrarium tv imerudi ila mizinguo mingi movie nyingi wanakwambia no link available.... Naomben pa kupata money heist.... Nmejarib kupitia index of money heist ila nkiweka kwenye pc yangu haineshi picha nasikia sauti pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpangilio wa visa vyake ndo unahitaji akili nyingi kuelewa...kwa maana kuna vipande vingi na kila kipande knajitegemea story yake.
Valamoghulis
Akili kubwa ya Einsten au????? Kwamba yale mafarasi na mapanga kuangalia watu wanapigana tu inahitaji akili kubwaa????


Acha utani kijanaa kuna series zinahitaji akili lakini huo Upuuzi unahitaji Mtu ambae yeye series anaangalia ili mradi kaangalia tuu... Hakuna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Terrarium tv imerudi ila mizinguo mingi movie nyingi wanakwambia no link available.... Naomben pa kupata money heist.... Nmejarib kupitia index of money heist ila nkiweka kwenye pc yangu haineshi picha nasikia sauti pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyewe zilikataa ku play kwenye VLC....nikainstall player inaitwa Pot player , hii ni kiboko mizigo yote inasoma bila chenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom