Series (Special thread)

Wakuu kuna hii series mpya ya BODYGUARD nayo ni kisanga na nusu,kama hamjaiona fanyenyi juhudi,mnapitwa na uhondo,imekaa kikubwa sana hii kitu,ila ina ep 06 tu hadi saiv..
 
Wakuu kuna hii series mpya ya BODYGUARD nayo ni kisanga na nusu,kama hamjaiona fanyenyi juhudi,mnapitwa na uhondo,imekaa kikubwa sana hii kitu,ila ina ep 06 tu hadi saiv..
Hii ngoma inahitaji concentration ya kutosha.....english yao iko deep sana
 
Ni tofauti na ile Narcos inayomzungumzia Escobar au ni mwendelezo wake tu?! Sounds like yale mambo ya 24, 24 Legacy, 24 Another Day lakini zote ni 24 tu!

Narco mexico haihusiani kabisa na Escobar....inanga kuna kama dakika 15 kweny series nzima ndio kahusishwa pablo.

Inazungumzia suala la Ngada enzi hizo kwwnyw taifa la Mexico.

Tofaut na ile Ya pablo kabisa.
 
Similar Discussions

67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom