Series (Special thread)

Wazee kuna short movie inaongelea kutekwa kwa rais wa urusi,imetoka 2018,naomba kufahamishwa jina la hyo movie
 
Ni muvie ya kimarekan,star yule jamaa aliye act London has fallen
Nimeikamata mkuu
Screenshot_20181129-221104.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom