Series (Special thread)

Nyie wote bado mpo gizani kama bado hamjakutana na hii series '666 AVENUE PARK' Umoja wa mataifa UN ilibidi iingilie kati hii series ifutwe duniani na isirushwe kwenye TV yoyote amini usiamini copy za hii series hutoweza kuipata tena madukani zilinunuliwa zote kimya kimya na kwenda kuteketezwa. Mimi niliambulia season 1&2 nilivyomaliza kuangalia season 1 nikapagawa nikarudi dukani ili nichukue complete ndo nikakutana na hicho kisa. NAWEZA NIKAMUAZIMA MTU ILA AWE MTUNZAJI NA MUAMINIFU.AKIMALIZA KUICHEKI ANIRUDISHIE.
 
Hivi unaanzaje kumlazimisha mtu aishi maisha yako wewe unapenda maigizo ya Red Indians wenzio sio taste yao usilazimishe mfanane harafu siamini mpaka 2018 hii still kuna watu bado wanalazimisha wenzao kuenenda maisha ya imani zao kwa kutumia post Za vitisho na kejeri sijui mungu gani huyo
Hapa tunajadili series and movies let's us be!
 
Inamuhusu daktari mdogo ambae alipokuwa mdogo alipitia manyanyaso yanayompelekea kutokujiamini na msongo was mawazo,mean while ni daktari mzuri sana kwenye upasuaji,ana extra knowledge.. Anaajiliwa lakini kazini anakumbana na vikwazo kibao
Who killed mia turner

Mdogo mdogo ishanikamata,episode ya 12 now
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom