Series (Special thread)

Faida yake nn?? Muda unaoatumia kuangalia hzo series zako kwann usiutumie kusoma neno la MUNGU??
-Je kwa siku unaongea na MUNGU wako mara ngapi??

-kama huingei naye unamwabhdu nan chin ya jua??

-kama unamwabudu mungu wa mbiguni kwa n husemi naye???

Ni wakati wa kubadilika na kuujua ufaulme wa mbinguni kukiko kupoteza muda mwingi kufanaya mambk ya kidunia. Jeuri ya mwanadamu iko mikononi mwa MUNGU kama unabisha basi SHAURI yako.
 
Nawe muda wote uliotumia kuandika hili li article lako,kwann usingetumia huo muda kuongea na huyo Mungu wako,ambaye unaweza hata kuongea nae!
 
Good docka ikoje bibie
Inamuhusu daktari mdogo ambae alipokuwa mdogo alipitia manyanyaso yanayompelekea kutokujiamini na msongo was mawazo,mean while ni daktari mzuri sana kwenye upasuaji,ana extra knowledge.. Anaajiliwa lakini kazini anakumbana na vikwazo kibao
 
Wakuu mpo njema Sana hi inanipa hamasa kuzitafuta series hizi ambazo sija ziangalia, asanteni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom