911
Platinum Member
- Aug 22, 2008
- 852
- 499
Inaendelea tarehe 8 JanuaryVipi kuna mtu amefuatilia THE BRAVE????
Inaendelea tarehe 8 JanuaryVipi kuna mtu amefuatilia THE BRAVE????
Wale wa the catch ni matapeli kweli kweli hahahaha.Hii ni zero aisee bora hata wale matapeli wa the catch nilienjoy zaid
Me tooHuu mzigo nausibiri kwa hamu zote
Hii bado ipo tu? Sijui ilikuwaje nikatokea tu kuichukia balaaaBlacklist imerudi
Binafsi nimeona ya kawaida sana. Sema imekua overrated Sana then imetoka kipindi kizuri hakuna series za genre yakeHii the punisher Ni kwkw japo kuna action wanazificha
Tupo kibwenaaa tumejaa. Tunaisubiri ep 10Vipi kuna mtu amefuatilia THE BRAVE????
Zama terrarium TV jombaaaoi mwenye Last Ship complete apa anifanyie namna aise
Sure,naisubiri the brave,the good doctor,blindspotSeries nyingi zinaendelea kuanzia wiki hii baada ya winter break
Sawa mkuu kaanzishe thread yako uongelee izo series zako za upande mwingine zenye maana, tuachie uzi wetu sie.Hakuna ki2 humu....pumba tupu...sijaona cha maana...series zimebase upande m1....ambazo ni series za kichoko..
We mwenyewe umeukuta....Sawa mkuu kaanzishe thread yako uongelee izo series zako za upande mwingine zenye maana, tuachie uzi wetu sie.
Mkuu watu wa namna hii usitumie nguvu kubishana nae just ignore him/her siku ipite.Sawa mkuu kaanzishe thread yako uongelee izo series zako za upande mwingine zenye maana, tuachie uzi wetu sie.