Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,695
- 45,011
- Thread starter
- #101
Super Saturday
Sidhani mkuuVipi leo tutacheki match ya Burundi vs Tanzania kupitia Canal+?
Kaka nakipataje hiki king'amuz na shilng ngap?Sidhani mkuu
Nashindwa kuelewa kwa nn kuna ving'amuzi kama hiki lakini watu wanakazana na Dstv na Azam?
Tatizo liko wapi?
Kabla ya Corona kuanza,Canal+ walikuwa na mazungumzo ya kuinunua/merger na BeinSport na mojawapo ya kipengele baada ya kuungana ni kuongeza lugha ya Kiingereza. Kwa hiyo wakiafikiana kutakuwa na option ya English language.Tatizo lugha mzee
Ukipata fundi mzuri halisumbui kabisa,na ukitaka kulipatia ulifunge kwenye zege au ukutani kabisa usilifunge kwenye mbao.Iv dishi lao alizingui mawimbi
canal hawana lesen Tanzania...wao wanarusha matangazo yao kwa nchi zinazoongea kifaransa tuNashindwa kuelewa kwa nn kuna ving'amuzi kama hiki lakini watu wanakazana na Dstv na Azam?
Tatizo liko wapi?
Naomba kuuliza, mbona Zanzibar wameunganisha channel za CANAL kwenye Cable TV zao na wanaonyesha mpira kupitia hizo channel kwa malipo ya sh. Elfu kumi tu kwa mwezi. Kwanini na Tanzania Bara kusiwe na Cable TV kama hizo waunganishe CANAL watu wapate burudani ya soka kwa gharama nafuu kama Zenji?canal hawana lesen Tanzania...wao wanarusha matangazo yao kwa nchi zinazoongea kifaransa tu
Cable kwanza ni wizi .Naomba kuuliza, mbona Zanzibar wameunganisha channel za CANAL kwenye Cable TV zao na wanaonyesha mpira kupitia hizo channel kwa malipo ya sh. Elfu kumi tu kwa mwezi. Kwanini na Tanzania Bara kusiwe na Cable TV kama hizo waunganishe CANAL watu wapate burudani ya soka kwa gharama nafuu kama Zenji?
na kinapatikana wapiKisimbuzi chake jumla na kufunga bei gani?