Serie A ndani ya dikoda ya Canal+ sport

sasa hao jamaa kwann wasije rasmi kufny biashara watapga pesa kuliko dstv, shida iko wapi au kuna milolongo gan? maana wengne sie ni kustream tu hizi game, sku halotel internet ikilala basi mechi inanipita dah
 
Endelea kukariri maisha
Mkuu nimekula chumvi so kila linaloendelea sioni kipya naona yanajirudia tu... hata wizi wa kanyaboya huwa upo tu unakuja na kupotea... Ndio maana nawatahadhalisha Raia wawe makini vitu visivyo rasmi watakuja kulia tu trust me
 
Experience yangu kuhusu canal + ni king’amuzi kizur sana kwa wapenzi wa michezo na burudan ya movies kwa upande wa mpira kuna canal sport channel 4 ambazo zinaonesha ligi hizi
Epl(full package)
La liga(full package)
League 1,league 2,women league(full package)
Serie A(sijajua inakuja katika package gan)
Uefa(full package)
Europa (full package)
Caf confedaration(full package)
Belgian pro(important game)
Scottish league(important game)
Turkish league(few important game)

Kuhusu nba wanaonesha live game moja inayooneshwa sa 4 usiku na game moja ya asubuh ila kwa playoff wanaonesha kwa team moja had hatua ya final

Michezo mingne ni (baadhi ya mechi)hockey,formula 1,motogp,(full package) tennis,golf,wwe,

Wana license ya kutangaza kwa kifaransa tu channel za sports

Upande wa movies series na cinema hawa jamaa wamejitahid sana kwa kifurushi kidogo unapata movies za hv karibun kabisa nyng za kuanzia june 2018 kuja mwaka huu na hizi nyng unazikuta kwa lugha ya english

Kuhusu music na vitu vingne ndo kidogo hawako vzur kabisa kwa kfurushi cha bei rahis hamna station hata moja ya maana ya music wala documentary kwa kiingereza
Kingne ni kwny coverage yao ni full HD afu wana program ya kurecord kipind just uwe na flash tu energy saving na autotune off/on changamoto kubwa nnayopata ni mvua na upepo vinaathiri sana signal
 
Hiki king'amuzi hakina HD channels , michanel uchafu tu.. Halafu lugha ni kifaransa
 
Channels za movies walizonazo ni kama zp mkuu.
 
Hiyo elf 40 huko mbeleni haitakuja kupanda bei? Usikute pengine ni bei ya kuvutia wateja wakishapatikana basi kinapaa hadi lak 1 na mgawanyo kibao mara compact+,premeum n.k
 
Hiki kisimbusi kwa bongo ni ujanja ujanja tu, hakina vibali vya kufanya kazi tz.....ni kosa kisheria kukimiliki

Hakuna njia ya malipo ya kibongo, ili kulipia inabidi mtu aende nchi yenye kibali kama congo kisha alipie huko kwa hela za congo
Hapa sasa ndio kuna ma middle man

Kisimbusi hiki ni kwaajili ya watu wanaotumia lugha ya kifaransa, hivyo chaneli karibia zote lugha ni kifaransa, sahau kukuta tbc citizen nk

Ukipata shida yoyote sahau kuhusu huduma kwa wateja ulio izoea kwa dstv azam nk

Ni kweli kwamba utafaidi zaidi chaneli za footbal za ligi karibu zote kubwa lakini kwa lugha ya kifaransa
Ukiondoa michezo chaneli zingine zilizobakia ni shida.....full kifaransa na chaneli chache sana za kiingereza
 
Kuanzia september 1 wanakuja na punguzo hilo wameona tunakimbia
IMG-20190813-WA0012.jpeg
 
Hiki kisimbusi kwa bongo ni ujanja ujanja tu, hakina vibali vya kufanya kazi tz.....ni kosa kisheria kukimiliki

Hakuna njia ya malipo ya kibongo, ili kulipia inabidi mtu aende nchi yenye kibali kama congo kisha alipie huko kwa hela za congo
Hapa sasa ndio kuna ma middle man

Kisimbusi hiki ni kwaajili ya watu wanaotumia lugha ya kifaransa, hivyo chaneli karibia zote lugha ni kifaransa, sahau kukuta tbc citizen nk

Ukipata shida yoyote sahau kuhusu huduma kwa wateja ulio izoea kwa dstv azam nk

Ni kweli kwamba utafaidi zaidi chaneli za footbal za ligi karibu zote kubwa lakini kwa lugha ya kifaransa
Ukiondoa michezo chaneli zingine zilizobakia ni shida.....full kifaransa na chaneli chache sana za kiingereza
Kwahiyo unapendekeza nini mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom