Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 3,832
- 2,790
JF ni mtambo wa kurekebisha tabia za watu mbali mbali wakiwemo viongozi, watu maarufu, mashirika n.k.
Katika fursa hii pia ningependa kuelezea yaliyonisibu jana wakati nikiwa na marafiki zangu tukiburudika. Mimi ni mpenzi wa beer aina ya Serengeti. Lakini ni muda mrefu nimekuwa nikikumbana na maswahibu katika bia hii. Bia hii mara kwa mara imekuwa ikichanganywa mafuta ya taa. Tatizo ni kwamba inawezekana bia hii inahifadhiwa katika chupa ambazo hazijasafishwa ipasavyo. Ikiwa hili litaendelea kuna haja tufanye kampeni ya kuisusa bia hii kwani ni chafu, yaani SERENGETI BEER NI CHAFU!!!