Serengeti beer and Mlima Kilimanjaro na bia ya Kili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serengeti beer and Mlima Kilimanjaro na bia ya Kili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Soulbrother, Dec 4, 2009.

 1. Soulbrother

  Soulbrother JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2009
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 408
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  I appreciate Serengeti na idea yao ya kudhamini watu 14 kupanda Mlima Kili ili kusaidia yatima haswa wakati huu wa msimu wa sikukuu ila I feel its a cheap take on Kili beer's idea ya mwezi uliopita ya kupandisha bendera ya taifa juu ya mlima huo huo. I mean tuna vipaji and creativity, why not come up with something different for the cause.

  Hebu nipeni maoni yenu kuhusu swala hili
   
 2. m

  msabato masalia Senior Member

  #2
  Dec 4, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Simba na Yanga............au marketing manager kafulia......shule yake ya simbi period.:)
   
Loading...