Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

na nna hakika hiyo last show ya marehemu, ameacha mtoto..... huyo mwanamke hayuko sawa akapimwe......alishindwa kutoroka......elimu, kukosa ajira,,, bado ni tatizo kuu TANZANIA.....
 
Jamani imetosha Sasa kuwalinganisha warembo na ng'ombe.
Wakuria na wasukuma jirekebisheni
 
Ndo shida ya ndoa za utotoni
Tuliopitia haya madhila tunajua machungu yake,😢 ina athari kubwa sana sana kisaikolojia, unaweza kufanya tukio la kuogofya, hata kuua nyumba nzima na wewe kujiua kwa misimamo ya ovyo kutoka kwa wazazi/walezi😭😭
 
Huyu inaelekea mwanaume alikuwa anamu abuse sana

Ova

Inawezekana, ndo maana baada ya kutekeleza mauaji akatafuta na msosi kabisa tena kwa mama wa marehemu. Na akagonga menu pasi na shaka na akashiba kabisa.
 
Back
Top Bottom