Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 22
I heard that Serena Williams is in Kenya.
Can any one verify this?
Can any one verify this?
serena ni mjaluo wa kenya kwahiyo si ajabu kutembelea kijijini kwao,na ana shule amejenga huko.I heard that Serena Williams is in Kenya.
Can any one verify this?
Best mtatumaliza kwa kamba, sasa juzi R-Kerry alipotembelea Uganda ndo tuseme naye ni Mnyakole? Au Eto' alipotembelea Kenya mwaka jana ndo tuconclude kuwa ni mkikuyu?serena ni mjaluo wa kenya kwahiyo si ajabu kutembelea kijijini kwao,na ana shule amejenga huko.
sasa tufanyeje zaidi ya kuwapiga kamba?kuna ajabu gani kwa mwafrika kutembelea afrika?kaenda kijijini kwao tu kusalimia bibi zake,mbona obama anaendaga.Best mtatumaliza kwa kamba, sasa juzi R-Kerry alipotembelea Uganda ndo tuseme naye ni Mnyakole? Au Eto' alipotembelea Kenya mwaka jana ndo tuconclude kuwa ni mkikuyu?
Badae mtasema kwa kuwa Bushi alikuja Tz Basi naye ni msukuma au Mmeru wa Arusha. Sasa kama ni hivyo na raisi wetu mh. Kikwete tutasema ni raia wa nchi gani? na juzi tu alikuwa uturuki au ndo kawa mwarabu. Best kazi tunayo!
Best mtatumaliza kwa kamba, sasa juzi R-Kerry alipotembelea Uganda ndo tuseme naye ni Mnyakole? Au Eto' alipotembelea Kenya mwaka jana ndo tuconclude kuwa ni mkikuyu?
Badae mtasema kwa kuwa Bushi alikuja Tz Basi naye ni msukuma au Mmeru wa Arusha. Sasa kama ni hivyo na raisi wetu mh. Kikwete tutasema ni raia wa nchi gani? na juzi tu alikuwa uturuki au ndo kawa mwarabu. Best kazi tunayo!
We need SERENAS to come to Tanzania.
World number one Serena Williams cuts the tape to officially open the Serena Williams Secondary School at Matiliku.
To do what?We need SERENAS to come to Tanzania.