SERENA WILLIAMS in Kenya

serena ni mjaluo wa kenya kwahiyo si ajabu kutembelea kijijini kwao,na ana shule amejenga huko.
Best mtatumaliza kwa kamba, sasa juzi R-Kerry alipotembelea Uganda ndo tuseme naye ni Mnyakole? Au Eto' alipotembelea Kenya mwaka jana ndo tuconclude kuwa ni mkikuyu?
Badae mtasema kwa kuwa Bushi alikuja Tz Basi naye ni msukuma au Mmeru wa Arusha. Sasa kama ni hivyo na raisi wetu mh. Kikwete tutasema ni raia wa nchi gani? na juzi tu alikuwa uturuki au ndo kawa mwarabu. Best kazi tunayo!
 
sasa tufanyeje zaidi ya kuwapiga kamba?kuna ajabu gani kwa mwafrika kutembelea afrika?kaenda kijijini kwao tu kusalimia bibi zake,mbona obama anaendaga.
 
Best mtatumaliza kwa kamba, sasa juzi R-Kerry alipotembelea Uganda ndo tuseme naye ni Mnyakole? Au Eto' alipotembelea Kenya mwaka jana ndo tuconclude kuwa ni mkikuyu?
Badae mtasema kwa kuwa Bushi alikuja Tz Basi naye ni msukuma au Mmeru wa Arusha. Sasa kama ni hivyo na raisi wetu mh. Kikwete tutasema ni raia wa nchi gani? na juzi tu alikuwa uturuki au ndo kawa mwarabu. Best kazi tunayo!

we unafikiri ni mTanzania huyo, mtu ambaye hana uchungu hata kidogo na nchi yake, HUYO NI MJAMAIKA KULEEEEEEEEEEEE KWENYE MABEMBEA
 
MohSadi2.jpg

MohSadi8.jpg

MohSadi5.jpg

MohSadi6.jpg

Serena Williams plays ball with Sadili pupils when she toured the institution on Wednesday.
 
Serena1.jpg

World number one Serena Williams cuts the tape to officially open the Serena Williams Secondary School at Matiliku.
 
Back
Top Bottom