Serena Williams (And Her Baby Bump) kwenye The New Vanity Fair Cover Stars

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,224
17,797
2363e84d3e244d3ea7c2feb5c747e22a-desktop-copy.jpg
 
Hela zote hizo alizonazo lakini bado ngozi chafu chafu (simaanishi ajichubue, angalia Ngozi ya Miriam Odemba kwa mfano)
 
Ameliamsha duudeee!!.... Mama wee!!... Mzungu amemharibu haribu hivi!!... Really P.n.. never lie!...
 
Hivi hawa wa mbele mbele wamerogwa? hivi wao uchi ni k tu? shenzi zao. Hayo ndio anayoyapenda nyani ngabu na.kuwasifia wapuuzi wenzie
 
Hivi hawa wanaopigwa picha za hivi huwa wanapigwa na wanaume zao,dada zao ama???maana wanakuwa uchi eti,wataalam hebu nijuzeni jamanii nakosaga majibu aseee
 
Hivi hawa wanaopigwa picha za hivi huwa wanapigwa na wanaume zao,dada zao ama???maana wanakuwa uchi eti,wataalam hebu nijuzeni jamanii nakosaga majibu aseee


Professional photographer. Ni watu ambao wako kikazi zaidi, hawezi kaharibu kwa hayo mambo
 
Yaani akilivua hilo kofia kichwani anakuwa kama dadazetu wa kwa mtogole tu.
little-samosa-girl.jpg
 
Back
Top Bottom