Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar yatiliana mikataba na Serekali ya Japani kusambazwa umeme Z'bar. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar yatiliana mikataba na Serekali ya Japani kusambazwa umeme Z'bar.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by abdulahsaf, Mar 30, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo Khamis Mussa akitia saini kwa niaba ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Hiroshi Nakagawa akisaini kwa niaba ya Sedrekali ya Japan, utiaji wa saini huo umefanyika hoteli ya serena inn shangani.
  [​IMG]
  MANEJA Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali Mbarouk mwenye suti na Maofisa wa Shirika hilo wakishughudia utiaji wa saini huo, uliofanyika Hoteli ya Serena Shangani.
  [​IMG]
  KATIBU Mkuu wa Ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Maendeleo, Khamis Mussa na Mwakilishi wa JICA Yukihide Katsuta wakitiliana saini kwa niaba ya Taasisi zao kwa ajili ya Usambazaji wa Umeme Unguja.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  acha uduanzi wewe ..... hembu fikirieni jinsi ya kuzalisha umeme na si kusambaza umeme
   
Loading...