Serekali imeshindwa basi sisi wananchi tuanze na hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serekali imeshindwa basi sisi wananchi tuanze na hili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kabathe, Jan 31, 2011.

 1. K

  Kabathe Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Africa ni moja,matatizo yetu yanafanana,mfano kilichowafanya vijana wa Tunisia na Misri kuingia mitaani is the same as to what we are facing in our country; ufisadi, ukosefu wa ajira, bei ya bidhaa muhimu kupanda kila siku, hakuna haki, wananchi wananyanyaswa ndani ya nchi yao na serikali yao. Mafisadi tunawajua, serikali inawajua. Hakuna wa kuchukua hatua. Sidhani kama kuna vijana wakitanzania wanaweza kuingia mitaani kudai HAKI yao, labda si kwa sasa. Hawa watu tunawajua, baadhi ya biashara zoa tunazijua, kwanini tusichukue hatua ya kuzigomea.Mfano kama kuna fisadi tunafahamu kuwa anamiliki kampuni au kituo cha mafuta basi watu wote tuacha kununua mafuta kwenye vituo vyake.
   
 2. doup

  doup JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  wazo zuri sana , tatizo utekerezaji na uhamasishaji; wanasiasa kwenye mikutano yao wangekuwa wanaongea haya taratibu watu wangeanza kuerewa haya
   
Loading...