aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,221
Wakuu,
nimesoma habari kuhusu serikali ya TANZANIA kutenga hekari 4000 kwaajili ya wawekezaji kutoka Singapore kuja kuwekeza kwenye sekta ya kilimo.Binafsi,nimeshindwa kuelewa kwanini nchi itafute uwekezaji wakati nguvu kazi zipo,na matrekta yapo,suala ni kujituma tu.
nashauri serikali,ijaribu kutoa ushuru kwenye pembejeo za kilimo ilikuwawezesha watu wenye mitaji midogo kwenda kulima,na sio kuleta watu kutoka nje ambao watakuja kufanya kilmo kwa biashara Zaidi na kuwauzia mazao watu wetu kwa bei kubwa wakati mashamba,nchi ni yao.
lini sisi waafrica tutajiamini na kujipatia maendeleo yetu binafsi bila kutafuta kona kona? na katika haya ya uwekezaji ndio yaliyoamsha rushwa wakati wa MKAPA,dhambi hii inatutesa mpaka sasa hivi.
Mimi siamini kabisa katka suala la uwekezaji.tanzania haijafulu katika hili na mpaka sasa hatujui matunda yake.
nashauri sana,kuwawezesha wakulima wadogo wadogo ndio itakuwa ni kujenga misingi kiuchumi na sio kuleta watu kutoka nje.Bado tuko nyuma sana katika fikra na maono.
Over 4,000 acres set aside in Moro in industrialization move | Latest News, Sports, Business, Entertainment, Features, Columnist | IPPMEDIA