Sera za Mgombea Uraisi Mzee Wasira ni za kizamani sana.

P

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Messages
8,866
Points
2,000
Age
51
P

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2013
8,866 2,000
Nimekuwa nafuatilia sera za wanaotia nia kwa tiketi ya CCM ila haya aliyoongea Mzee wasira nimeshindwa kabisa kumuelewa.

Nimeanza kumsikia wasira tangu nikiwa mdogo akiwa ni waziri ktk awamu ya kwanza na ameendelea kuwa waziri tena mwandamizi ktk awamu mbalimbali. Cha kushangaza juzi alitoa sera zake na kilichonishangaza ametoa vipau mbele vyake as if hakuwahi kuwa ktk serikali husika!

Ameshindwa kuweka sera hizo ktk awamu alizotumikia na kuzitekeza na sasa anaita vipau mbele vyake! Nigemshauri huyu mzee hizi SERA zake ni bora azichapishe vizuri na AZIPELEKE KTK JUMBA LA MAKUMBUSHO zihifadhiwe huko kuliko kutuletea majukwaani kwani ni aibu tupu. Pia umri wake namshauri apumzike acheze na wajukuu.
 
Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2007
Messages
10,874
Points
2,000
Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2007
10,874 2,000
Nimekuwa nafuatilia sera za wanaotia nia kwa tiketi ya CCM ila haya aliyoongea Mzee wasira nimeshindwa kabisa kumuelewa.

Nimeanza kumsikia wasira tangu nikiwa mdogo akiwa ni waziri ktk awamu ya kwanza na ameendelea kuwa waziri tena mwandamizi ktk awamu mbalimbali. Cha kushangaza juzi alitoa sera zake na kilichonishangaza ametoa vipau mbele vyake as if hakuwahi kuwa ktk serikali husika!

Ameshindwa kuweka sera hizo ktk awamu alizotumikia na kuzitekeza na sasa anaita vipau mbele vyake! Nigemshauri huyu mzee hizi SERA zake ni bora azichapishe vizuri na AZIPELEKE KTK JUMBA LA MAKUMBUSHO zihifadhiwe huko kuliko kutuletea majukwaani kwani ni aibu tupu. Pia umri wake namshauri apumzike acheze na wajukuu.
Hizo sera za Wassira ndiyo sera hasa za CCM .................. hujasikia kuwa Wasirra ndiye Mwnyekiti wa Kuandika Manifesto ya chama!!?
 
Forum statistics

Threads 1,283,909
Members 493,869
Posts 30,805,755
Top