Jamani kuweni makini sana mnavyozungumzia states... it is easier to say Zanzibar state government, Tanganyika State Governement na Federal government of Tanzania.. kwa sababu historically they were independent state... kwa sasa sio muafaka kugawa taifa hili ambalo liko fully integrate na mipaka ni ishara tu ya kusaidia ****-manage... hivi mwanamume uliyezaliwa Moshi... ukakutana na Mhehe... Shinyanga na sasa Unaishi penda.. where will you pride be... tuache kujadili vitu as if the nation does not have story....
Tungekuwa states zinazoungana kama United State of America it could make sense... lakini sisi sio... we just need to continue improving our local government system ambayo already iko kwenye katiba ya nchi... sio kweli kwamba ni kitu kidogo... hata nyerere alipenda sana kulielezea hili... tuendee ku-evolve... taratibu serikali kuu, central government ijitoe every time local govenrment inavyoweza kuwa na capacity to manage... serikali iendelee na kuwa na role ya governance only.
To Tanzanians: not everything needs revolutions...
Tanzania ina mfumo wa majimbo lakini ina improve kwa system ya evolution wakati wenzetu wanataka iwe revolution... hizi ni adhari za kutawalia, kwamba we do not believe to have our own system rather lazima tu-copy....
Weberoya,
This is where you get it wrong and absolutely wrong.... do not mix Distric Commissioner with Municipal Mayor.... They are there for different roles and they are real important.
1. Distric Commisioner --- Represent Central Government in discrit level and he is responsible for execution of central government responsibility at district level and he is the head of all central government organs at the level,... Mkuu wa polisi, mkuu wa usalama, and anything for central government.
2. Municipal Mayor: this is the one you talk about.... he is responsible for local government, at the time being is selected by madiwani, but you can decided to be selected by people direct... this is majimbo you are talking about... in short Tanzania has majimbo... but the majimbo in Tanzania are called halmashauri/Manispaaa..... .... thus why central govenment can decide to have two majimbo in one district....
Please jueni nchi yetu kabla ya kukurupuka. Huwezi kuwa na 100% Local Government au Majimbo at Majimbo/District level... lazima kuwe na central government organs to supervise those organs that are centrall managed.
You get it wrong once again... who appoint the distric commisioner... for now it is head of the state... but this can be discussed... in any case they will be people accountable to the central government and not to the local government. Ila ku-discuss this is not a problem... but ni uongo mkubwa hata kwa Mungu kusema tanzania haina utawala wa majimbo,,, wakati tume ya uchaguzi kila siku inatangaza mbunge wa jimbo x amefariki uchaguzi utafanyika x day.
Soma katiba ya sasa mkuu... imewekwa kwenye katiba... na kinachotokea serikali ya Tanzania inaendelea kuwaachia madaraka... this is what Kikwete is proud of ... evolving giving the the power...
Hili sio wazo jipya fuatilia vizuri serikali za mitaa zinavyoendeshwa na sheria zake... utaona serikali za majimbo ziko... sasa issue ya idadi, appointment these can be discussed...
Kwa mfumo wa sasa halmashauri zote ni majimbo... ila kwa definition yenu na CDM mnataka kurudisha provinces zile za ukoloni... wish you all the best...
Ila hili hamtakuwa wagunduzi b'se these idea are they and are working...
Unakumbuka kwa nini Waziri Mkuu aliambiwa amevunja katiba kwa kuwa na Tume ya Jiji ya Keenya? do you remember....
Wewe naona unaleta ubishi wa kitoto, hakuna anayetaka kuonekana kagundua nini, tunataka kuweka mfumo ambao tunaamini kwamba utaleta mabadiriko, ambayo yatakufaidisha wewe, Familia yako na vizazi vyako vijavyo. Na katika hili kwamba hata sasa kuna serikali za Majimbo sio issue, mfumo na majimbo yaliyopo sasa yameshindwa kutukomboa watanzania kutoka ujinga, misimu ya njaa, ukosefu wa huduma za afya, uchumi tegemezi, ukosefu wa ajira, ukosefu wa makazi bora n.k.
Who do you think need the Provincial Governance for the sake of Provincial Governance system? WHO? YOU!!
You get it wrong once again... who appoint the distric commisioner... for now it is head of the state... but this can be discussed... in any case they will be people accountable to the central government and not to the local government. Ila ku-discuss this is not a problem... but ni uongo mkubwa hata kwa Mungu kusema tanzania haina utawala wa majimbo,,, wakati tume ya uchaguzi kila siku inatangaza mbunge wa jimbo x amefariki uchaguzi utafanyika x day.
Soma katiba ya sasa mkuu... imewekwa kwenye katiba... na kinachotokea serikali ya Tanzania inaendelea kuwaachia madaraka... this is what Kikwete is proud of ... evolving giving the the power...
Hili sio wazo jipya fuatilia vizuri serikali za mitaa zinavyoendeshwa na sheria zake... utaona serikali za majimbo ziko... sasa issue ya idadi, appointment these can be discussed...
Kwa mfumo wa sasa halmashauri zote ni majimbo... ila kwa definition yenu na CDM mnataka kurudisha provinces zile za ukoloni... wish you all the best...
Ila hili hamtakuwa wagunduzi b'se these idea are they and are working...
Unakumbuka kwa nini Waziri Mkuu aliambiwa amevunja katiba kwa kuwa na Tume ya Jiji ya Keenya? do you remember....
Naomba utueleze ukweli hapa, kati ya Mayor na Balaza lake la Madiwani put together ni nani anamadaraka halisi ya kuongoza Halmashauri zetu when compared to Mkurugenzi wa Halmashauri ambaye ni presidential appointee.
Naomba uwe muwazi kwa sababu, kwa namna ulivyoelezea hapa nachukulia kama umefanya makusudi kuacha kumzungumzia mkurugenzi wa halmashauri wakati unajua kabisa kwamba ile ni central government office in the central government authority. clear my doughts pls.
Kasheshe, dhana nzima ya decentralization ni kupeleka madaraka yote ya tasnia husika kwenye local authority, kwa mfano umetoa mfano wa elimu (kama ni kweli), basi real decentralization ilitakiwa iendane na uwezo wa local Governments kujitengenezea sera za elimu zinazokidhi matakwa ya wananchi wa maeneo hayo, short of that hakuna decentralization.
Kumbuka kwamba He Who Influences the decisions has the real Power. Serikali kuu, in our case.Ndio maana nasema ours is primitive decentralization.
madaraka yapi hayo mkuu? unaweza kutoa mfano mmoja wapo
Madaraka sawa, madaraka bila pesa siyo madaraka,ndiyo nasema hiyo imekaa kisiasa na please imefanya nini for the past 50 yrs??
Ninachosema mimi, zipange mipango yao, njia za mapato yao, zikusanye kodi, zipange matumizi ya kodi, zichaguliwe na wananchi...n.k!! leo hizo serikali zinapata fedha toka serikali kuu tena not equally!! serikali kuu zimetoka wapi?
hizi zilizotajwa hapa eti "-(a) Kutekeleza kazi za Serikali za Mitaa katika eneo lake;(b) Kuhakikisha utekelezaji wa sheria na ulinzi wa wananchi; na(c) Kuimarisha demokrasi katika eneo lake na kuitumia demokrasi kuharakisha maendeleo ya wananchi''
a) kazi za serikali za mitaa ni zipi?
b) kuimarisha demokrasia?? really?
ulinzi na usalama sawa kabisa, hizo zingine mbili ziko kisiasa zaidi!! tuna vyama vingi sasa

Exactly this is the objective of local government a.k.a serikali za majimbo: Nakuhakikishia this things are happening... nitakupa mifano positive and negative showing there are actually two government working:-madaraka yapi hayo mkuu? unaweza kutoa mfano mmoja wapo
Ninachosema mimi, zipange mipango yao, njia za mapato yao, zikusanye kodi, zipange matumizi ya kodi, zichaguliwe na wananchi...n.k!! leo hizo serikali zinapata fedha toka serikali kuu tena not equally!! serikali kuu zimetoka wapi?
Unajua kuna kipimo cha ujinga na upumbavu lakini heri mjinga maana anaweza kueleweshwa na mpumbavu katu anajua ukweli ila anaupindisha kwa faida zake
Ridhwan Kikwete na wana CCM wenzie ni moja ya makundi dhaifu kiakili na kihuhalisia, huku kundi linguine la wenye ulemavu wa akili ni baadhi ya wanachadema ambao ni fuata mkumbo, wasiozijua seraza chama chao na hawawezi kuzitetea..poleni!
Faida za sera za majimbo
1. Faida za utawala
Sera za majimbo zinaweza kabisa kufananishwa na Decentralisation system, ambako maamuzi hufanywa na watu wa chini kabisa, kwa jambo husika na kwa wakati husika.
Wananchi wanapewa uwezo wa kujitafuatia uongozi wao, na hivyo kumjweka mtu ambaye anajua mazingira ya eneo hilo, shinda walizonanzo na way forward kuzitatua. Mtu huyu pengine anajua utamaduni wa eneo husika, tabia zao na kupanga mikakati ya kujikwamua kutokana na walivyo.
Kwa kifupi ita improve quality of decision kwa jambo loloye liwe kwa eneo husika kitu ambacho hakipo kwa sasa
2. Faida za uchumi
Mtu yeyote mjinga na asiyeelewa ni yule anayedhani au kufikiri kuwa kuna maeneo nchi hii ni maskini na mengine ni tajiri.
Kansa ya mawazo haya iko kwa viongozi wa CCM na serikali yao wakihubiri kuwa majimbo ni mifarakano na wengine watakuwa maskini Sema jimbo gani ni maskini, nitakueleza wafanye nini kupata utajiri..
Hakuna kijiji, mkoa au wilaya maskini Tanzania haipo!!! Umaskini ukiwapo ni wa ubongo mdogo wa raia wa mahali hapo
Sera ya majimbo itaharakisha maendeleo kwani ita motivate au kustimulate brain za watu wa eneo husika kuwaza na kufikiri kipi kifanyike kuleta maendeleo
Wataalamu wa sosholojia wanatanabaisha kuwa, jamii inayotengeneza sere zake, au kuamua mambo yake hufanya kazi kwa bidii ili maamuzi na malengo waliyoyaamua yafikiwe .kwa mfano sera ya kilimo kwanza haitaweza kufanikiwa kwa sababu haijaamuliwa na wananchi na haijaingia akilini au mioyoni mwao ..kwa nini kilimo kwanza hata kama sera hii ni nzuri!!
Ni matatizo waliyoyapata akina Nyerere enzi hizo..wakati mpaka leo hii israel ina vijiji ya ujamaa kama alivyoanzisha Nyerere sisi vyetu havipo na kama vipo ni kibahati tu!!
Leo wengi hawajui wilaya ya Mbinga ndiyo tajiri kuliko zote Tanzania kwa kilimo cha kahawa, ufugaji na sasa wanapanda miti!!Nani anajua kuwa mkoa wa mtwara ni wa saba kuliingizia pato taifa?
Au hamjui kuwa wilaya za Ngaka, kiwira zina makaa ya mawe na liganga kuna chuma, nani asiyejua utajiri wa madini na kilimo morogogoro na mazao ya madawa mkoa wa Pwani?
Au nani asiyetamani kuona utajiri za zabibu Dodoma unavuka mipaka na kushindana na Israel ambayo inategemea zabibu kwa sanaTanzania haina sehemu maskini, J
Juzi Mkongeumeongelewa sana, Mafuta na ziwa ni utajiri wa Kigoma na Rukwa inasifika kwa kilimo semeni tujue wilaya maskini ni ipi?
Au haiumi kuona Lindi na Mtwara wana gesi ambayo inasafirishwa kuletwa DSM huku wao wakihangaika kucheza ngoma kwa kukosa kazi??
Haiumi kusikia Tanzania ni wazalishaji wakubwa wa dhahabu duniani uku wilaya husika ni maskini wakutupwa, au Almasi ya shinyanga ikiliwa kimya kimya!!! Kweli asali ya tabora na kijani cha Bukoba sio mtaji wa maendeleo ya taifa hili? Nani anabisha??
Sera hii italeta ushindani wa majimbo katika kuongeza kipato cha kaya, kijiji, kata, jimno na taifa!!
Dubai wameweza kuuweka mji wao kuwa sehemu ya kibiashara duniani sehemu ambayo ni jangwa kabisa!!
Kama kuna sehemu kuna jangwa, basi tutaweka DAR LIVE nyingi sana (Ridhwan tenda hiyoo dogo), na starehe nyingine zote ili watu wakipiga kazi ngumu wanaenda kupumzika na kujiburidisha sehemu ambazo zitakuwa haziwezekaniki..japo hamna hizo sehemu
3. Faida za kulinda utamaduni
Hakuna utumwa mbaya na wa kipekee kama kuacha tamaduni zetu, tumeiga wazungu mpaka wanatushangaa, vijana wetu wamekuwa kama mabinti, eti wanabana pua na MASCULINE behavior haipo!!
Malezi duni!!! Kijana gani leo yuko tayari kupigana na kusema msitu huu wa baba yangu, na yuko tayari kuua simba na kulinda hadhi za kikoo, kifamilia, kikabila na hatimaye taifa??
Sera majimbo japo zimejikita ki-uchumi zaidi, lakini zina faida kubwa sana hata kiutamaduni
Utamaduni wa eneo husika huleta ubunifu wa eneo husika na kuongeza hadhi ya eneo hilo leo hatuangalii nyimbo za wamasai ila tunanunuA MAKHIRIKHIRI kwa raha zooote huku tukijiona tumeendelea!
Kumbuka pia utamaduni hapa pia ni kurithisha vizazi vijavyo mambo ambayo kizazi cha sasa kinafanya, kama kulima, kufuga nyuki, kuchimba madini , kutengeneza vitu mbali mbali! kurithisha kizazi kijacho.......this is called informal education which is sometime far better than formal education!!
kuna faida gani kumaliza na degree uchwara ya uhandisi wa ujenzi na huwezi kazi wakati kuna fundi aliyejifunza tangu utotoni alianzia kubeba vifaa vya baba yake!!! anajua kila kitu kuliko injinia aliyekuwa na stress za bodi ya mikopo na shida za kukosa vifaa vya mafunzo??
4. Faida ya kukusanya mawazo
Unapoona mwenzio kaendelea utajiuliza how? Kafanyaje? Maendeleo ya baadhi ya sehemu Fulani Fulani zitaleta data collection na mawazo kuwa kwa nini wengine wameendela wanafanyaje fanyaje.
Sera za majimbo zinaweza kupelekea kubadilisha sera za uongozi wa taifa na kufikia kufanya maamuzi ambayo huwezi kuyajutia na una mifano yake.
5. Kulinda Rasilimali za Taifa
Kumbuka ikiwa kama majimbo yatagawanywa na kuwa mfumo wa states .basi taifa la Tanzania lina weza kuitwa United Sates of Tanzania majimbo ambayo yana dola ya local na kitaifa, kulinda maeneo husika.
Ukiwa na mali lazima ulinde mali kutorosha vitu kama wanyama hakutakuwepo, kuiba michanga ya madini hakutakuwepo, kukata miti ovyo na kuuza kwa bei ya kutupa hakutakuwepo!!! Do I need to say more here??...no!
6. Kujenga Taifa Imara na viongozi wazuri wa kitaifa
Tuna taifa dhaifu kwa sababu tuna viongozi dhaifu! Tuna viongozi dhaifu kwa sababu tuna taasisi dhaifu, tuna taasisi dhaifu kwa sababu tuna familia dhaifu!
Taasisi kama uongozi wa ngazi mbalimbali ukiwa makini unaleta viongozi makini, taasisi hata za kidini zinaweza kuchochea kupata viongozi wazuri na akina baba wazuriIkiwa tyuna kiognozi wa jimbo Fulani aliweka strategy za kupata maendelao na yakaoneka, je hawezi kuwa ndio candidate mzuri wa wizara husika na hata taifa??
Viongozi watakuwa judged na kazi zao za kwenye majimbo na tutakuwa na hakika ya kuwa atafanya jambo akiwa rais let say sio kuwa na viongozi vimeo kama hawa wasasa ambao haujui katoka wapi, kafanya nini, anaweza nini, unashtukia tu kiongozi na kesho mnalia HAWEZI kwani nani alisema anaweza??
7. Mwingiliano wa watu
Uzuri wa sera hizi kwa sababu tunaongelea taifa moja, mtu ataishi sehemua mabayo anajua atazichanga. atatoka atatengeneza fedha kulingana na akili zake na ujuzi wake!! Hili huleta maendeleo ya haraka kwa wenye akili! Sio wanaokalia majungu, kuchezabao na kuwaza uchawi!
Sera za majimbo kwa maendeleo ya Taifa, kumbuka kuna limitation zako au hasara zake, japo ni ndogo sana kw ataifa letu change sera za majimbo is not a matter of discussion is a must!!
8. Kodi husika
Kodi inakatwa kulingana na eneo husika, kwa mfano kodi ya jimbo la Ontario nchini kanada iko tofauti na kodi ya British Columbia japo wako nchi moja, ukasanyaji wa kodi utakuwa rahisi na itafanya kazi iliyokusudiwaLeo hii kaodi zetu hatujui zinafanya nini na haujui umuulize nani! Aibu
9. Watu watapungua DSM (miji mikubwa) ha ha ha ha!!
I hate DSM but I am in!..ila nina kazi yangu na some prospects ila naona watu wakitaabika, hawajui wafanye nini, hawana future, asubuhi tunajaziana foleni wengine wakiwa na decent jobs wengine hawana na cha ajabu ambao hawana kazi wanaishi maisha mazuri kabisa sisi wafanya kazi tunakatwa kodi kubwa na ilimradi vituko tupu
Hawa wenyeji wengi waDSM ambao ni jobless ambao wanaweza kwenda elfu arobaini kwenye msiba wa kanumba siku ya kazi asubuhi..wakisikia wenzao mikoani wanazalisha na maisha yao yanaenda vizuri watarudi tu!!
Hata kama wasipoondoka hawa kwasababu wameishalemaa at least tutazuia watu kukimbilia mijini. Maisha ya bahati bahati , maisha yasiyo na muda wala malengo maisha ambayo unatoka nyumbani saa kumbi na mbili na kufika kazini saa nne!!
Unafikia chai,kucheza karata kufacebook kidogo, lunch na unasinzia kidogo saa tisa unaanza kuangalia usafiri wa kurudi asilimia 90 ya wafanya kazi wa serikalini ndio wanavyoishi!! Ha ha ha ha!
Watu hukimbilia mijini wakidhani ndiko kuna hela, sera ya majimbo itazuia hili! Japo hatari yake ni kuwa jimbo Fulani kukiwa kuzuri zaidi watu watakimbilia huko .
lakini kama wanazalisha is okay hakuna shida, siyo kama wakazi wa DSM wengi hawaishi bali wanatafuta maisha!
10. inatosha
wenu
Waberoya s. Waberoya
N.B huu sio uchambuzi wa sera rasmi ya chadema, maneno rasmi ya sera za chadema kuhusu hili , tafuta sera zake fika ofisi ya chadema iliyo karibu nawe utaipata, hapa nimeelezea tu kwa ufahamu wangu ubora wa sera hii, kumbuka pia kuwa mimi sio mwana chadema wala chama chochote cha siasa.
Jamani kuweni makini sana mnavyozungumzia states... it is easier to say Zanzibar state government, Tanganyika State Governement na Federal government of Tanzania.. kwa sababu historically they were independent state... kwa sasa sio muafaka kugawa taifa hili ambalo liko fully integrate na mipaka ni ishara tu ya kusaidia ****-manage... hivi mwanamume uliyezaliwa Moshi... ukakutana na Mhehe... Shinyanga na sasa Unaishi penda.. where will you pride be... tuache kujadili vitu as if the nation does not have story....
Tungekuwa states zinazoungana kama United State of America it could make sense... lakini sisi sio... we just need to continue improving our local government system ambayo already iko kwenye katiba ya nchi... sio kweli kwamba ni kitu kidogo... hata nyerere alipenda sana kulielezea hili... tuendee ku-evolve... taratibu serikali kuu, central government ijitoe every time local govenrment inavyoweza kuwa na capacity to manage... serikali iendelee na kuwa na role ya governance only.
To Tanzanians: not everything needs revolutions...
Tanzania ina mfumo wa majimbo lakini ina improve kwa system ya evolution wakati wenzetu wanataka iwe revolution... hizi ni adhari za kutawalia, kwamba we do not believe to have our own system rather lazima tu-copy....
Waberoya,
Majimbo au federation ni jambo linalotokana na msukumo wa kihistoria wa kijamii, kisiasa na kiuchumi wa jamii tofauti tofauti ndani ya taifa moja.Kimantiki na kiuhalisi Kuundwa kwa mfumo wa serikali ya majimbo hutokea tu pale inapoonekana serikali kuu itashindwa kuongoza kwa kuhodhi uhalali wa utawala moja kwa moja wa taifa husika.
Hapa Tanzania hamna msukumo wa mfumo huu kihistoria na hata sasa hamna msukumo kama huo toka kwa "mataifa" madogo madogo ndani ya Tanzania. Katika mlengo wowote wa kisiasa na ushabiki wa vyama pembeni Serikali ya JMT haijashindwa kuendesha tawala zake za mikoa mpaka tufike sehemu ya kusema lazima tu balkanize Tanzania yetu kati vijinchi vidogo vidogo vitano au kumi, narudia bado hatujafika hapo. Kubadilisha mfumo wa utawala wa nchi ni kitu kikubwa na kinahitaji wananchi kuhusishwa na isiwe ni msukumo wa watu wa kanda moja au wasomi wachache.
hatuwezi kusema mfumo uliopo wa serikali kuu ya kati ni mbovu kiasi cha kudidimiza maendeleo yetu. Tatizo ni utekekelezaji wa sera za kimaendeleo za CCM zilizotawaliwa na ubinfasi wa viongozi wake na mfumo wao wa kifisadi. Hili ni tatizo na bila kuondolewa hili majimbo hayataondoa kero zaidi ya kuzidisha ubinafsi wa viongozi wapya wa majimbo na kuradicalize ethno-nationalist sentiment katika taifa letu. Fikiria gavana wa jimbo la nyanda juu kusini atatoka wapi zaidi ya kabila kubwa la wanyakyusa wanaopiga kura kwa wingi na wenye umoja na elite katika jimbo hilo, hii itawafanya hawa wengine kama wakinga, wabena kuungana ili kujikinga na nyakyusa hegemony ili wapate gavana wao n.k hii ni hatari na ni changamoto hasi kwa maendeleo yetu
Kenya, Nigeria na wengine tayari wana "majimbo" yasiyo rasmi ni mantiki kwao kuyafanya rasmi kupitia katiba zao, kumbuka Nigeria isingeweza kutawalika bila majimbo ndiyo maana kabla ya uhuru 1960 wakaja na hii idea ya federation kabisa kuondoa kuingia kwenye migogoro mikubwa ya kiutawala.
Waberoya nafikiri we ni mzalendo zaidi ya shabiki wa itikadi za vyama, fikiria zaidi
Mharakati,
Du! Sisi wavivu sana yet tunapenda ku-conclude sana,,,, nimekuwekea sheria hapo.... soma kabla ya kujibu.... oooh loooh what generation is this?
Mkuu Waberoya mbona ulikuja na mtiririko mzuri tena unajitoa kwenye ulingo wa CHADEMA????? Kiukweli sera za majimbo zitainua uchumi wa nchi yetu, hata China tunayoisifia kiuchumi decitions zinafanywa kwenye jimbo husika!!! Yatubidi Watanzania tutoke kwenye maamuzi ya maendeleo ya jimbo au mkoa kufanywa Dar na kazi zifanyike Karagwe!!!! Nadhani wengi tumekuelewa kuwa hiyo sio kugawa nchi bali ni madaraka mikoani au majimboni kuharakisha maendeleo!!!!