Sera za chadema ni CHOPA? wana tofauti gani na wakongo wanaovaa nguo za bei wakati njaa kali?

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,581
2,937
Nndugu zanguni,

Kuna jambo nimeshindwa kulielewa kutoka kwa hawa jamaa wa chagadema. Wao kila kukicha stori zao ni chopa, chopa, chopa.. sijawahi kuwasikia wakisema watawafanyia nini watu wa Kalenga zaidi ya kusema watazunguka na chopa.

Chadema sasa wamegeuka kama watoto wadogo wa chekechea tu wakidhani kuwa watu wakiona chopa ndio watawazimia. Huu ni ujinga uliopitiliza, kiongozi wa siasa unatakiwa uwaambie wananchi utawafanyia nini ukichaguliwa sio kuzunguka na chopa.

Mimi nawafananisha Chadema na wacongo ambao hupenda kuvaa nguo za bei mbaya sana wakati nyumbani anakula ugali mkavu kwa dagaa wakavu...

JITAMBUE PAPAA
 
La muhimu hapa CCM nao wajibane wanunu chopa hata mbili ndo mzizi wa fitina utaisha.
 
miccm ndio mishamba inaogopa chopa wakati ni nyenzo kama baiskeli tu!kwa hiyo ww kilaza unataka kutuambia kwenye majukwaa wakisimama huwa wananadi uwezo wa chopa sio?
 
Mara nyingine nashangaa jinsi watu wengine wanavyofikiri. Hivi kweli mtu mzima na akili zake anaweza kusema kuwa sera ya chama ni chopa? Hivi kama unatumia baiskeli kwenda shamba, hiyo baiskeli tutaiita ndiyo sera yako? Au neno sera lina maana nyingine siku hizi?
 
Kwahiyo Chopa ni sawa ni Baiskeli??

Akili za kiBavicha hizi.
 
Chagadema hawajielewi mwanzo walienda kufanya kampeni bila chopa walipoona hawapati watu ndo wakarudi kutafuta chopa anayegoma sera ya chagadema sio chopa hajitambui mwacheni aendelee kulala ipo siku ataamka
 
Mara nyingine nashangaa jinsi watu wengine wanavyofikiri. Hivi kweli mtu mzima na akili zake anaweza kusema kuwa sera ya chama ni chopa? Hivi kama unatumia baiskeli kwenda shamba, hiyo baiskeli tutaiita ndiyo sera yako? Au neno sera lina maana nyingine siku hizi?
Mkuu Dingswayo huyu jamaa hayuko sawa (by Dr Maria kama sikosei) kwa hiyo hata anachoandika ni kukichukulia hivyo hivyo kama yeye alivyo. Hebu fikiria mtu mzima kama yeye na ni verified user anamwaga takataka kama hizi jamvini.
 
Ukweli unauma... chadema bila chopa mikutano yao inadoda sana.
Lazima waitumie kama silaha yao ya kuwavutia wateja kwenye mikutano.
 
Nndugu zanguni, Kuna jambo nimeshindwa kulielewa kutoka kwa hawa jamaa wa chagadema. Wao kila kukicha stori zao ni chopa, chopa, chopa.. sijawahi kuwasikia wakisema watawafanyia nini watu wa Kalenga zaidi ya kusema watazunguka na chopa. Chadema sasa wamegeuka kama watoto wadogo wa chekechea tu wakidhani kuwa watu wakiona chopa ndio watawazimia. Huu ni ujinga uliopitiliza, kiongozi wa siasa unatakiwa uwaambie wananchi utawafanyia nini ukichaguliwa sio kuzunguka na chopa. Mimi nawafananisha Chadema na wacongo ambao hupenda kuvaa nguo za bei mbaya sana wakati nyumbani anakula ugali mkavu kwa dagaa wakavu... JITAMBUE PAPAA

Jana jioni uliweka uhalo wako wa CHADEMA NI GENGE LA WAHUNI haraka haraka MODS waliuzoa huo uhalo wako leo umekuja na mwingine tena eti Sera ya CHADEMA NI CHOPA.

Chopa siyo sera ya CHADEMA bali chopa ni kitendea kazi au chombo cha usafiri, sera mojawapo ya CHADEMA ni kutoa elimu ya uraia ambayo wanainchi wanaikosa elimu hiyo iweze kuwawezesha kujitambua CHADEMA hua inatumiA CHOPA kusambaza elimu hii. Au sera mojawapo ya CCM ni maisha bora kwa kila mtanzania kutekeleza sera hii CCM kupitia serikali yake huwa inapeleka fedha kwa wingi kwenye halmashauri ambako watu wako ili kutekeleza mipango ya maendeleo mwisho wa siku mipango hiyo ya maendeleo ikitekelezwa ndo hapo kila mwanainchi anakuwa na maisha bora.

lakini hela hizo zikienda halmashauri huliwa na wajanja wachache kama vile wewe ulivyokula hela za rambirambi ya Mwangosi, hii ni kutokana na madiwani wengi wa CCM ni mambulula hawawezi kuzisimamia fadha hizo ndio maana huliwa na wajanja yaani watendaji kama mkurugenzi na wakuu wake wa idara matokeo yake maisha bora kwa kila mtanzania hayawi.

Kwa hiyo usichanganye sera na CHOPA havilingani kabisa.
 
Nndugu zanguni,

Kuna jambo nimeshindwa kulielewa kutoka kwa hawa jamaa wa chagadema. Wao kila kukicha stori zao ni chopa, chopa, chopa.. sijawahi kuwasikia wakisema watawafanyia nini watu wa Kalenga zaidi ya kusema watazunguka na chopa.

Chadema sasa wamegeuka kama watoto wadogo wa chekechea tu wakidhani kuwa watu wakiona chopa ndio watawazimia. Huu ni ujinga uliopitiliza, kiongozi wa siasa unatakiwa uwaambie wananchi utawafanyia nini ukichaguliwa sio kuzunguka na chopa.

Mimi nawafananisha Chadema na wacongo ambao hupenda kuvaa nguo za bei mbaya sana wakati nyumbani anakula ugali mkavu kwa dagaa wakavu...

JITAMBUE PAPAA

chopa inawanyima usingizi mpaka mnaituma ile taasisi yenu ikataze isiruke eti inasababisha kelele.mlidhani ni ngoma ya kitoto eeh.
 
Huyu Jmaa anaonekana anahitaji huduma ya kule Dodoma kwenye hospitali ya wale jamaa zetu waliokwisha changanyikiwa. Amesahau hata mambo yale anayodaiwa kule Nyololo
 
Nndugu zanguni,

Kuna jambo nimeshindwa kulielewa kutoka kwa hawa jamaa wa chagadema. Wao kila kukicha stori zao ni chopa, chopa, chopa.. sijawahi kuwasikia wakisema watawafanyia nini watu wa Kalenga zaidi ya kusema watazunguka na chopa.

Chadema sasa wamegeuka kama watoto wadogo wa chekechea tu wakidhani kuwa watu wakiona chopa ndio watawazimia. Huu ni ujinga uliopitiliza, kiongozi wa siasa unatakiwa uwaambie wananchi utawafanyia nini ukichaguliwa sio kuzunguka na chopa.

Mimi nawafananisha Chadema na wacongo ambao hupenda kuvaa nguo za bei mbaya sana wakati nyumbani anakula ugali mkavu kwa dagaa wakavu...

JITAMBUE PAPAA

Cdm ni chama cha upinzani, jee tueleze ccm chama tawala kwa zaidi ya miaka 50 kimewafanyia nini wanakalenga hadi sasa? Wakati kila siku wananchi tunalipa kodi? Leo hii kalenga wananchi tunachota maji visimani!, tunagombea maji pamoja na mifugo yetu!!, leo wewe lukosi unakuja na maigizo ya kuvinanga vyama vya upinzani eti viseme vitawafanyia nini wanakalenga?....FIKIRI KABLA YA KUTENDA.
 
watu hawana hata ofisi lakini wanatumia 3 billion kuzunguka na chopa. Maskini hawana hata mtu wa kuwashauri. Hii inamaanisha kila mtu yuko kimaslai zaidi, wanatafuta poshokutoka kwenye michango, wafadhili na hela wanayoplipwa na serikal 250,000,000/= kwa mwezi,
 
Hao ndio akina papaa babu na papaa Dj
 
Ulifuatilia campaign ? Kwa sababu kama ulifuatilia huwezi kusema hiyo statement yenye red hapo chini unless wewe ni mwendawazimu !

Back
Top Bottom