Elections 2010 sera za ccm kulindana na kubebana, je shamsi vuai nahodha anaandaliwa shavu gani?

Madcheda

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
422
69
naomba mtaniwia radhi wana JF hii ni post yangu ya kwanza kbs hapa JF ingawa nilijiunga zamani kdg, napenda kujua kwa wale wanao jua mambo yaliyo chini ya kapeti, hivi shamsi vuai nahodha ameandaliwa shavu gani ndani ya selikali ya jamuhuri???maana naona zenji shein amemtema na sababu alinyimwa uraisi wa zenj na wana ccm wenzake nazan ameteuliwa ubunge na jah-kaya ila mpe shavu la uwaziri ktk selikali yake,kama ilivyo kwa bilal na shavu la umakamu...wenye newz naomba mtujuze tafadhali
 
Huyo nafikiri anaandaliwa kitu cha nguvu hasa 2015 au baadae. Anaandaliwa kuzoea system ya CCM ili baadae ashike hatamu.
 
Kuna mdau kule kwenye jukwaa la siasa amesema atachukua nafasi ya Benard Membe ya uwaziri wa mambo ya nje.
 
naomba mtaniwia radhi wana jf hii ni post yangu ya kwanza kbs hapa jf ingawa nilijiunga zamani kdg, napenda kujua kwa wale wanao jua mambo yaliyo chini ya kapeti, hivi shamsi vuai nahodha ameandaliwa shavu gani ndani ya selikali ya jamuhuri???maana naona zenji shein amemtema na sababu alinyimwa uraisi wa zenj na wana ccm wenzake nazan ameteuliwa ubunge na jah-kaya ila mpe shavu la uwaziri ktk selikali yake,kama ilivyo kwa bilal na shavu la umakamu...wenye newz naomba mtujuze tafadhali
ask kikwete ndugu
 
Tatizo letu kubwa ni kusahau au kutokuzingatia,
Kwa kumbukumbu zangu, mara tu baada ya Shein kuteuliwa kuchukua mkoa wa Unguja na Pemba watu wawili waliambiwa na walisema wazi kuwa chama kimewaambia watulie kidogo nao ni Ghalib Bilali na kwa kuwa yeye umri unamtupa mkono akapewa hapo alipo ili asimsumbue Shein pale mkoani. huyu wa leo akaambiwa bado ni kijana kwa hiyo asiwe na haraka. So amekuja kutengenezwa ili wakati ukifike either apewe mkoa au Li nchi kabisa yaani Tanganyika!!
Kama mnasahau haraka, karagabahoooo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom