Sera ya viwanda iwe ya kitaalam sio kisiasa!ni dunia ya ushindani

kimanganuni

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
321
164
Hakuna nchi duniani iliyoendelea bila mapinduzi ya viwanda,,na kilimo.mapinduzi ya viwanda ujerumani na uingereza yalianza1500 bk watanzania tuko nyuma miaka mingapi? Je tumeshaanza?
Maswali ya msingi.
[HASHTAG]#tuanza[/HASHTAG] na mapinduzi ya kilmo au viwanda?
# tuna maeneo tumeyalenga au kila mkoa uwe na malengo yanayofanana
[HASHTAG]#soko[/HASHTAG] kiko wapi? Hii ni dunia ya ushindani ya viwango
Nb;kama kila mkuu wa mkoa atajipangia, nina mashaka na mlundukano wa bidhaa .
Nawakilisha
 
Back
Top Bottom