SerA ya viwanda inapoenda kombo

wa hapahapa

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
7,454
4,376
Katika jitahada za mapinduzi ya viwannda wapo wanao kwamisha ..

Pasipo kujari afya, maendeleo ya masoko na uchumi..

Bado watu wanaendelea kutengeneza bidhaa feki...
 

Attachments

  • IMG_20190708_210508_4.jpg
    IMG_20190708_210508_4.jpg
    135.2 KB · Views: 18
Hata Original yake siijui. Endeleeni na ulevi wenu. Mtakunywa hadi nyongo za Mamba

Kwa Tz Ni kawaida tu .. Hadi ArV feki.

Tatizo watengenezaji nao wanapita njia sio halali kujipatia kipato.. kwa kutengeneza bidhaa feki....
 
Back
Top Bottom