JMWAKA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 729
- 638
SERA YA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI
Joseph Mwakatobe
Uchambuzi mdogo wa sera na utekelezaji wake
Tamko la Sera
Serikali itaweka mazingira mazuri ya upatikanaji wa mitaji kwa kuimarisha na kuboresha vyanzo vya akiba, itachukua hatua za kuondoa vikwazo mbalimbali ili kuwezesha mabenki kukopesha kikamilifu amana zilizopo na kwa gharama nafuu, na itaweka mikakati ambayo utekelezaji wake utainua hali na hadhi ya wananchi ili wakopesheke.
4.3.3 Mikakati
4.3.3.1 Kuimarisha na Kuboresha Vyanzo vya Akiba
Serikali itachukua hatua madhubuti katika maeneo manne ili kuimarisha vyanzo vya akiba na mitaji kwa wananchi:
(i) Itawahimiza wananchi kuanzisha uwekezaji wa pamoja ili wajipatie mitaji ya kuanzishia shughuli zao za kiuchumi ni wazi bila shaka na kwa dhahiri kuwa serikali imefanya juhudi katika kufanikisha juhudi hizi katika kipindi cha miaka50 ya uongozi wa CCM tumeona mapinduzi katika kuwawezesha wananchi kujitegemea na kufanya kazi sera imepelekea maendeleo ya vyama vya ushirika na vyama vya akiba na mikopo mathalani hamasa imetolewa kwa wananchi kujiunga katika vikundi vya pamoja na kujiwekea akiba na kuweza kupata mikopo ili kujiendeleza kiuchumi takwimu zinaonesha kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita serikali imekopesha imetoa pesa kwa taasisi hizi kwa zaidi ya asilimia 70 ya malengo yake.
Pia kuimarisha uchumi wa ndani na uwezo wa kujitegemea katika kujiletea maendeleo makampuni makubwa makubwa yanayotengeneza faida kubwa kubwa hapa nchini Kuingia katika soko la hisa ili wananchi wamiliki uchumi wao mfano ni makampuni ya simu na upande wa makampuni ya madini mchakato unaendelea.
[HASHTAG]#timiza[/HASHTAG] wajibu wako
[HASHTAG]#namuunga[/HASHTAG] mkono Rais kwa kufanya kazi