Sera ya Taifa ya Maendeleo Ya Vijana 2007 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sera ya Taifa ya Maendeleo Ya Vijana 2007

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by i411, Sep 24, 2012.

 1. i411

  i411 JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Sera ya taifa ya maendeleo ya vijana iliundwa ili kutoa muongozo kwa vijana na asasi za vijana. Mkataba wakwanza ulitoka mwaka 1996 lakini ulikuwa na mapungufu mengi kwakuwa miaka hiyo ya zamani serikali na nchi kwa ujumla ilikuwa haina changamoto nyingi na wahusika hasa vijana hawakuhsishwa. Sera ambayo hipo hapa ya 2007 ilikuwa ya kurekebisha ile ya mwaka 1996 kupunguza mapungufu yake. Tumeweka hapa kwenye hii site kitabu chote, unakipata kwa kubonyeza hiyo linki ya kitabu hapo chini na utadownload kitabu chote.Please sambaza kwa vijana wote

  Sera-ya-Taifa-ya-Maendeleo-ya-Vijana-2007.pdf
  Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana1 2007.jpg
   
 2. F

  Foy New Member

  #2
  Jul 5, 2013
  Joined: Jun 21, 2013
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii Sera mbona iko hapa lakini hatuweza kuipata???? Please vijana wanaharakati tunaihitaji sana.... mtusaidie......
   
 3. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2015
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,632
  Likes Received: 3,014
  Trophy Points: 280
  ok ahsante
   
Loading...