New City Project
Member
- Dec 10, 2019
- 82
- 37
Wakati Tanzania tukivutana Rwanda wameamua kitekeleza Kwa Asilimia 💯 maisha ni miji na Siasa ni miji
Wakati Tanzania tukivutana Rwanda wameamua kitekeleza Kwa Asilimia 💯 maisha ni miji na Siasa ni miji
Kwani wewe unajua maeneo hani Rwanda? Kigali ipo Rwanda. Ni wapi kule uliona nyumba za tembe/nyasi kama sisi? Shule zao kuna sehemu uliona wanakaa chini? Ile ni nchi ndogo, landlocked, ina resources kiduchu, mauaji ya genocide yaliiharibu nchi kwa kiasi kikubwa. Na kama kusingekua na vita leo hii tungekua tunapokea misaada toka huko.Kila kiti kizuri Kigali haya wee Asante kwa kufanya Kigali kuwa ndio Rwanda.Huko kwingine mmmmmmmm
Wakati Tanzania tukivutana Rwanda wameamua kitekeleza Kwa Asilimia 💯 maisha ni miji na Siasa ni miji
Rwanda inanuka genocide. Kagame apambane aishi milele ila kama atakuja kufa chuki aliyopandikiza italipuka siku ileile akitangazwa kafa.
Kwa Nini kama Wana akili kuliko nchi yeyote barani Afrika kwa Nini waliuana wao kwa wao ? Wakati nchi za wajinga hawauani wao kwa wao?Rwanda ndiyo Taifa pekee lenye Watu wenye Akili nyingi na zilizobarikiwa pengine kuliko hata Mataifa mengine Barani Afrika.
Kwa Nini kana Wana akili waliuana wao kwa wao ? Wakati nchi za wajinga hawauani wao kwa wao?
Kwani hiyo Vita ilianzishwa na watanzania so walibomoana wenyewe kwa wenyewe unaongea utafikiri Kuna mmarekani alivamia Rwanda au mataifa ya njemauaji ya genocide yaliiharibu nchi kwa kiasi kikubwa. Na kama kusingekua na vita leo hii tungekua tunapokea misaada toka huko.
Kwa Nini kana Wana akili kuliko nchi yeyote barani Afrika kwa Nini waliuana wao kwa wao ? Wakati nchi za wajinga hawauani wao kwa wao?
Rwanda iache kuiba rasilimali za CONGO RDC.Rwanda ndiyo Taifa pekee lenye Watu wenye Akili nyingi na zilizobarikiwa pengine kuliko hata Mataifa mengine Barani Afrika.
Proudly Rwandese ️️️️️
Nenda Rwanda kasimame mbele ya Kagame na watusi uongee hili.kama hawajakuua .Unachosema Ni kuwa ilikuwa halali kwa mamilioni ya watusi wauawe na wachinjwe Kama kuku ili Rwanda ipate maendeleo sio?Wajinga na Wapumbavu huwa hawauwani na ukiona Taifa lolote lile linauwana jua Wananchi wake ni Werevu ( wana Akli sana ) na kwamba ina Amani yake ya ' Kinafiki ' lakini bado inaitembezea ' Bakuli ' la Msaada hiyo nchi.
Raisi wa Congo na raisi wa Rwanda wakitaniana siku ya jumapili.Rwanda iache kuiba rasilimali za CONGO RDC.
Rwanda iache kuiba rasilimali za CONGO RDC.
Nenda Rwanda kasimame mbele ya Kagame na watusi uongee hili.kama hawajakuua .Unachosema Ni kuwa ilikuwa halali kwa mamilioni ya watusi wauawe na wachinjwe Kama kuku ili Rwanda ipate maendeleo sio?
Kwa hiyo watusi waliouawa kwako ndio ilikuwa kafara ya Rwanda kuendelea?
Kwa hiyo unaunga mkono mauaji ya kimbari ya watusi?