Sera ya Nyerere kubinafsisha viwanda imepelekea wawekezaji kuogopa kuwekeza Tanzania

Naona tuishie hapa mkuu, sababu tunaongea mambo mawili tofauti.
Nilikuwa nawafuatilia afu nacheka peke yangu. Unajua kuna hoteli za wababe unaagiza pilao unaletewa makande. Ukiuliza "vipi?"unaambiwa: "kula, ndo tulicho nacho!" Sasa hapa mjadala ni tofauti, mtu anakuja na ya kwake, ili mradi amwage tension zake tu. Bora uachane nae mkuu, si unajua tena mtu tumbo likimvuruga anaweza kujisaidia hata kwenye dala dala!
 
Back
Top Bottom