Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Jibu na ukweli ndo huo! Wenyeji humu hatuzubaishwagi na hizo Id zenu za kimkakati
We unajishtukia ni muoga unavoonekana,kama ndo ubongo wako uko hivo unawaza id za kimkakati ni zp na unazihesabu pia bac una kazi kubwa ya kufanya ndugu,wanasiasa wamekufanya nini sijui,tunashukuru mungu wengnine hatujaaribiwa na politicians kihivyo kama ulivyo wewe unaonekana ni mzee wa negative tu
 
We unajishtukia ni muoga unavoonekana,kama ndo ubongo wako uko hivo unawaza id za kimkakati ni zp na unazihesabu pia bac una kazi kubwa ya kufanya ndugu,wanasiasa wamekufanya nini sijui,tunashukuru mungu wengnine hatujaaribiwa na politicians kihivyo kama ulivyo wewe unaonekana ni mzee wa negative tu
Asante mkakati maalumu 😂😂
 
Swali gani ambalo hujajibiwa
D8023222-55D7-45A3-BA2D-D09B0C66E4DA.jpeg
 
Nimekujibu ni ubeligiji, Canada, Nigeria nk
Fafanua!!

Leta na ushahidi!!Wa nigeria kusafiri jimbo moja kwenda lingine unahitaji visa???

Wa canada kusafiri jimbo moja hadi lingine kuhitaji visa na Ubelgiji pia??

Pia lete mifano na ushahidi kuwa kwenye hizo nchi Mkazi wa jimbo moja haruhusiwi kupata kazi jimbo lingine 😂😂😂😂😂

Let’s ushahidi na uthibitisho hapa kwa hizo nchi ulizozitaja

Ukishindwa nawaambia mods wabadili id yako from Bia yetu to Certified Kilaza!!! Sawasawa??
 
Rais Magufuli anaweza kufanya mdahalo na lipumba Kwasababu anahadhi ya Urais

Sio yule msaliti wa Nchi, ni kumuaibisha Rais Magufuli kukaa meza moja na msaliti wa Nchi
Sasa Kama Hana hadhi ya uraisi unampinga wa nini
 
Mwa
Wakuu ukiacha usaliti wa Nchi na kutumika na Mabeberu

Chadema imejizika yenyewe kwa kuleta sera ya kujitawala kimajimbo ndani ya Tanzania

Kwa wale Watanzania ambao hawajaipitia hii sera ya Chadema

Ni kwamba kama wewe unatokana Kilimanjaro hurusiwi kwenda kagera hadi uende uhamiaji ni kama vile unahama Nchi
Lazima uwe na documents zote zile zinatohitajika ili kuhama Nchi

Kama Wewe unatoka mbeya hurusiwi kwenda Dar es salam hadi uende ofisi za uhamiaji za jimbo husika, gavana akikataa kukupatia kibali basi tena hutoki ndani ya jimbo

Swala la ajira:
kama wewe umezaliwa Dodoma hurusiwi kuajiriwa nje ya jimbo ulilozaliwa,yaani kama kuna nafasi za ajira morogoro wewe mtu wa Dodoma hurusiwi kusogeza pua

Pia kiuchumi Mfano kama wewe unatoka singida mashariki ambako hali ya kiuchumi ni duni sana hurusiwi kwenda Moshi kwa ajili ya kutafuta fursa za kiuchumi hadi uwe na passport ya kusafiria kama unavyoenda Africa kusini

Tunajua Tanzania wachaga wametapakaa kila kona ya Nchi wakijitafutia riziki ila Chadema wanataka kila mtu afanye biashara alikozaliwa, hii inamaana kuwa watu wa Kilimanjaro wote watatakiwa kurudi kwao endapo Chadema itashinda Uchaguzi

Marafiki zangu wa Kilimanjaro wanaofanya biashara Dar es salam wametokea kuchukizwa sana na sera hii ya Chadema na kusema wamejitakia kifo kwa chama chao na wameapa kutoipigia kura Ccm

Mtazamo wangu sera za majimbo zinazopigiwa upatu na Chadema zitaleta udini na ukabila na matabaka kama ilivyo Nigeria

Tunaishukuru Ccm kwa kupigania umoja wa Watanzania, wanaotaka kutugawa kamwe hawataweza, wale waliowatuma watugawe ili iwe rahisi kupora raslimali zetu hawataweza kamwe

Kwa heri Chadema, October bungeni tunataka chama cha siasa cha upinzani cha kizalendo na sio hao wanaopigania kuwamilikisha Wazungu raslimali zetu
mwanaume akitaka kuoa au akioa mke wa pili mke mkubwa lazma amseme mke mdogo kuwa mchawi katumwa na maadui kwao wana vichaa nk nk kila neno baya. Utawala wa majimbo ndiyo demokrasia kamili. Hii ya kuletewa mtawala DC au RC ambaye hata hajapigiwa kura na wananchi ni ukoloni, lazima tuongozwe na viongozi tuliowachagua siyo wanaopata uongozi kama zawadi au kifuta machozi baada ya kukosa ubunge,wanawajibika kwa aliyewapa zawadi ya Udc au uRC, mbunge tuamchagua hana mamlaka yeyote,ndiyo maana hatuendelei
 
Kwenye kundi la mamba' kenge hakosekani tunampinga ili Nchi yetu iwe salama kutoka kwa msaliti wa Nchi
Basi sisi tunamtaka huyu msaliti kwenu ninyi mnaouza Mali zetu ,.mnao fanya matumizi yasiyo kwenye bajeti , wenye double standard, mnaoua watu wanaompinga takakaka wenu
 
Back
Top Bottom