Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Msaliti wa nchi tunamwadhibu october 28
Unaweza weka ushahidi hapa?

Au unaongea tu kujifurahisha?

Shida mnashindwa kuelewa hii audience ya JF,ni wasomi hizi propaganda do not quiet cut it....mngetakiwa facebook huko waliko wajinga
 
Huo ni uwongo na uzushi, udkteta upo chadema
Hizo labda takwimu zako lakini takwimu zinaonesha ni nchi ya 8 katika orodha ya masikini zaidi duniani, na ipo katika nchi ambozo zinatawaliwa kifikteta hazijali uhuru wa watu wake
 
Huo mfumo wa majimbo lazima utasababisha vita kama Nigeria, utaleta udini na ukabila tanzania

Tuwakatae chadema wataligawa taifa
Hawa mataga wajinga kwel...uelewa mdg afu wanataka kupotosha watu wenye akili zao ..,.ilani ya chadema ni suluhisho la umasikin tz just in few years..mfumo mpya taonesha matunda haraka kuliko miaka 60 ya ccm
 
Piga spana kwa msaliti wa nchi,lissu atapigiwa kura na robert
Bado unaamini hoja zako mfu za ukabila zitakusaidia mwaka huu???

Umepotea sana mwana Lumumba

Watu wameielewa na kuikubali Sera ya majimbo. Wanajua duniani korte hayo unayoyasema hayapo kwenye nchi zinazofuata Sera hii!! Upotoshaji wenu hautawasaidia lolote mwaka huu

Lissu all the way
 
Kwa hiyo unaamini msaliti wa Nchi atapata hata 2% ya kura?

Mwaka huu tutawafundisha adabu
Msaliti aliemsaliti Magufuli ni sawa na I respect him na ni true hero to Tanzania...atapata 90% na JPM 10%....wait and see...

Na hii ni so scary to all of you ndio maana mnapaniki mno yaani....
 
Wale lissu alikuwa anawatetea bungeni wachukue madini yetu
Akina nani hayo?

Wataje halafu uniambie kama sio wale walienda ikulu kula chai na Magufuli na kuingia mikataba na kupewa hela ndogo sana...

Mnakula mavi yenu wenyewe...

Niwekee clip hapa inayoonesha Lissu akitetea hao watu..weka hapa..

Yaani unadhani humu kuna matoto..hakuna
 
Siwezi kumaliza mb zangu kupandisha video za msaliti wa Nchi
Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Magufuli
Akina nani hayo?

Wataje halafu uniambie kama sio wale walienda ikulu kula chai na Magufuli na kuingia mikataba na kupewa hela ndogo sana...

Mnakula mavi yenu wenyewe...

Niwekee clip hapa inayoonesha Lissu akitetea hao watu..weka hapa..

Yaani unadhani humu kuna matoto..hakuna
 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Msaliti aliemsaliti Magufuli ni sawa na I respect him na ni true hero to Tanzania...atapata 90% na JPM 10%....wait and see...

Na hii ni so scary to all of you ndio maana mnapaniki mno yaani....
 
Back
Top Bottom