Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Chama chetu CDM kilisifika sana kwa kupigania haki za Wanyonge, kupiga vita Rushwa na kutetea Rasilimali za Nchi hii. Hapo ndipo tunamkumbuka kipenzi chetu na Katibu Mkuu mahiri Dr Slaa(Hakika tumeku- miss sana!).
Tangu Septemba, 2015 alipoondoka Dr Slaa mpaka sasa Chama chetu haijulikani kinafuata Sera au Itikadi gani. Ajabu kimekuwa kikipingana na Serikali inapochukua hatua kwenye mambo ambayo mwanzo Chama Chetu Kilipigania!
Enyi Viongozi wetu, ni nani aliyewaroga? Mbona mnatupeleka kusikojulikana? Nini hasa tunasimamia kama ndio kwanza tunapokea watuhumiwa wa uhalifu kwa mbwembwe zote? Ndio kusema hatuna dira tena wala mwelekeo?
Mfia-Chama na CDM Asili