Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,428
- Thread starter
- #41
1. Sasa hata awe mwanachama wa TFF au hata mwanachama wa CHAKICHUDA, HIYO INAADHIRIJE HOJA YA MSINGI ILIYOKO JAMVINI?Mkuu Safari_ni_Safari; hivi uliamini kweli kwamba huyuhuyu betlehem alivyo "mnazi" wa ccm anaweza akaihama ccm? Never! Ni geresha zake tu kuwa alihama...
2.Kwa uelewa wako, wanachama wa chadema wanatakiwa wawe na sifa zipi na tabia zipi?
3.Kwa kuwa mada ya msingi ina hoja, na wewe unasisitiza kwamba alieileta ni ccm? je! unachotaka kuiambia jamii ni kwamba kwa kawaida watu wenye hoja ni ccm?