Katika serikali ya mh Rais huyu, tumekuwa tukipewa ofa za hapa na pale na nyingine zikiahidiwa. Tumepewa elimu bure, service charge ya umeme bure, tutagawiwa sukari bure nk.
Ni sera nzuri kwa wale tunaopenda bure badala ya kupewa uwezo wa kujitafutia vya kwetu. Bure ya kwenye umeme itagharimu TANESCO billion 65, bure ya elimu billion 300+.
Hizi bure zingeelekezwa kwenye ajira na miundombinu ina maana zingeweza kuzalisha pesa zaidi ya bure. Mh Rais wananchi wanahitaji wawe na uwezo wa kujitegemea na si kupewa bure.