Sera msisitizo uchumi wa viwanda TIC fanyeni hili

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
Nianze kumpa hongera waziri wa Viwanda Mh.Mwijage kwa kuwapa moyo Watanzania kwa kufafanua kwa lugha nyepesi dhana ya kiwanda.

TIC igeni kwa wenzenu Uganda,wametoa machapisho na mchanganuo mtaji,mahitaji,faida kwa fursa karibu zote Uganda.is Kilimo,ufugaji,usafirishaji,,viwanda, biashara nk
Wekezeni pia katika media zetu,TV,radio,magazeti,wapo busy na udaku,umbea usio na Tija kwa Taifa.
Msisubiri kila kitu muambiwe na JPM!
 
Ili kuwakomesha kila mara Rais anapomaliza hotuba anawakabidhi copy vyombo vya habari,
 
Back
Top Bottom