Sera mbadala kwa ustawi wa maendeleo ya Tanzania

Kolomije wa Dar

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
284
789
Wakuu na wasalimu.....
Hakika huu ni muda wa kuitangaza "SERA MBADALA" kila dakika kila mahala.
Vitabu vitakatifu vinatuambia kuwa Masihi hatorudi mpaka jina lake litakapo hubiriwa kila mahala.

Tatizo Kubwa la nchi yetu ni kupata viongozi wasioijua katiba ya Tanzania vyema hivyo hutegemea wasaidizi wao.
Kwa sasa Mungu ametupa Tundu Lissu anayeijua vyema katiba na sheria za nchi. Hii nafasi hadimu watanzania tusiipoteze #2020 ni Tindu Lissu.

Kwanzia sasa na kuendeleea kila mpenda haki ni mwendo wa kuanzisha threads (#2020 Tundu Lissu) iwe hapa Jf, tweeter, Fb nk.

#2020 TUNDU LISSU
 
Back
Top Bottom